But all to all ndiyo maana manesi/waganga utoa ushauli baba na mama waudhulie clinic mpaka mama atakapojifungua na mtoto kukua, kuudhulia wote wawili inatoa fulsa kupata elimu na kuepusha kitu kama hiki tunachojadili.ungetoa elimu hapa
Kuna jinsi nesi akikosea kukifunga mtoto anavozaliwa husababisha kuwa kikubwa kudondoka ni another case mkuuMh, hii mada nayo ni majanga, kuna umuhimu wa elimu ya afya za uzazi kutolewa kwa wazazi wapya ili mjue kitovu kinavyokatwa au kukatika vinginevo ni shida!!.
Kuna jinsi nesi akikosea kukifunga mtoto anavozaliwa husababisha kuwa kikubwa kudondoka ni another case mkuu
Kama manes wote vimeo zaa watoto wako,anzidha chuo cha nursing,wasomeshe utakavyo na waajili wafanye kwente hospital yenu
Hebu toa ushahidi angalau wa picha tukusaidie.Leo lawama zangu ni kwa manesi wanaowakata vibaya vitovu watoto vinatokeza nje baadae vinawaletea shepu mbaya na wanajisikia vibaya kuwa wazi mbele ya wapenzi wao jirekebisheni bana