Labda mie ndie sielewi,lakini nimeandika kuwa mada hii ipo kwenye gazeti la Mwananchi na mtandao wa Mybroadband wa Afrika Kusini(Jf yao).Lakini hawa wote nao wame-copy toka katika kitabu cha John Carlin cha "KNOWING NELSON MANDELA" .Mleta uzi amecopy na kupaste akijifanya ni yake! Hakuonyesha umahiri wowote wa kuleta mada. Walau angejihangaisha kusummarize tu!
Labda mie ndie sielewi,lakini nimeandika kuwa mada hii ipo kwenye gazeti la Mwananchi na mtandao wa Mybroadband wa Afrika Kusini(Jf yao).Lakini hawa wote nao wame-copy toka katika kitabu cha John Carlin cha "KNOWING NELSON MANDELA" .Copy and Paste ni muhimu angenukuu mwandishi wa story hii kuliko alichofanya
Ni kweli kabisa! Inaumiza sana sanaMaumivu ya mapenzi ni hatari sana, usiombe yakukute hasa kwa yule unayempenda
Yaani hata alichoandika ni summary! Nimesoma yote natamani ingeendelea!Summary please!
Una umri gani?Pamoja na hayo, Mandela was weak to let Winnie Go, wote walikuwa na matatizo na walihitaji kujiana zaidi na zaidi lakini hawakupata nafasi hyo, so Mandela angekuwa Strong Man angeweza kulibeba hilo kama alivoweza kukaa behind Bars for 20 yrs
Yaani hata alichoandika ni summary! Nimesoma yote natamani ingeendelea!
Hivi umesoma yote?hujaona mahali niliposema nimeitoa hii habari?Au mie ndio sijaelewa unachouliziaHivyo unajua kuwa in copy and paste from the original document without acknowledgement! Walau ange"summarize" angeonyesha weledi wa uandishi.
Piga kimya mkuuMbona kama hii habari ni copy and Paste ya gazeti là mwananchi la jana tarehe 11/04/2018 .Hii Ndio JF
Achana na hao vilaza, wajanja tumekuelewa, kusoma kwenyewe hawajui wataweza kuelewa.Hivi umesoma yote?hujaona mahali niliposema nimeitoa hii habari?Au mie ndio sijaelewa unachoulizia
Ameileta hapa sababu anafaham sio wote tunapenda kununua magazeti na kusoma ...........au yawezekana alieiandika kwenye gazet ndo yule yule alieileta hapa....sasa ww shida yako nini????Mleta uzi amecopy na kupaste akijifanya ni yake! Hakuonyesha umahiri wowote wa kuleta mada. Walau angejihangaisha kusummarize tu!
Mandela alichikasirika hapa ni kuwa pamoja na kufanya ufusika winnie alitakiwa kuwa msiri.Najaribu kuwaza Winnie angefungwa 27 Mandela angekitembeza kiasi gani huku njee
Am sure angeoa mpya na kuzaa kabisaa
Labda kusahihisha,Malema alikuwa ktk kitengo cha Mawasiliano kwa umma na huduma za kijamii cha ANC angali alikwa mdogo,akiambatana na kina Mpofu katka kazi zake za kila siku,hivyo si ajabu yeye kuhusishwa na shuguli za Mpofu akiwa angali mdogo.Julius Malema kazaliwa 1981.
Malema ana miaka 37 sasa hivi.
Wakati ndoa ya Winnie inavunjika Mwaka 1996, Malema alikuwa na miaka 15!
Kabla ya huu mwaka wa talaka, tunaambiwa tayari Malema alikuwemo ktk harakati akimsaidia DALI MPOFU ktk kesi za Winnie.
Naomba tusaidiane hapo, U15s Malema alisoma na kumaliza Masomo lini Kiasi cha kuwa Mwanaharakati pembeni ya Winnie?
N kweliBro.usaliti unauma.
Secrecy for 27 years?..ni rahisi kumhukumuMandela alichikasirika hapa ni kuwa pamoja na kufanya ufusika winnie alitakiwa kuwa msiri.