Protocol ya kumdanganya Mungu huku umeshika kitabu chake na kukitumia kujiapiza kufuata katiba, misingi ya utawala wa haki nk halafu unavunja kiapo hicho... Ingekuwa viongozi wa dini wako imara wangeingilia kati ili kufutwa huu utaratibu wa kutumia vitabu vitakatifu halafu kesho yake tuu walioapa wanavunja viapo vyao.Kuapa Is Just A Protocol And Has Nothing To Do With One's Decisions Thereafter!
Hii inaonesha jinsi gani jamii yetu, viongozi wa dini wakiwemo, ambavyo hatuna maadili.Protocol ya kumdanganya Mungu huku umeshika kitabu chake na kukitumia kujiapiza kufuata katiba, misingi ya utawala wa haki nk halafu unavunja kiapo hicho... Ingekuwa viongozi wa dini wako imara wangeingilia kati ili kufutwa huu utaratibu wa kutumia vitabu vitakatifu halafu kesho yake tuu walioapa wanavunja viapo vyao.
That's The Reality! Na Hiyo Yote Ni Sababu Ya Ubovu Wa Mifumo Ya Upatikanaji Wa Viongozi.Protocol ya kumdanganya Mungu huku umeshika kitabu chake na kukitumia kujiapiza kufuata katiba, misingi ya utawala wa haki nk halafu unavunja kiapo hicho... Ingekuwa viongozi wa dini wako imara wangeingilia kati ili kufutwa huu utaratibu wa kutumia vitabu vitakatifu halafu kesho yake tuu walioapa wanavunja viapo vyao.
Mahakamani kuna kuapa kwa kutumia vitabu vya kidini, kama huna dini au mpagani Kuapa unanyoosha mkono juu.
Hata viongozi wa kiserikali kuapishwa lazima kutumia vitabu vitakatifu kama Quran au Biblia.
Kama uchunguzi unafanyika kwa kutumia intelijensia(polisi,ushahidi,mahakama),kwanini uchunguzi na ushahidi usifanyike bila kiapo?mtu anaweza akawa mhusika halisi kwenye tuhuma,anaweza kuapa na kesi anashinda,viongozi wanaweza kuapa kwa kutumia vitabu vya kidini na wakafanya yaliyo kinyume na katiba.
Naomba kujua kiapo inasaidia nini wakati sheria zipo na uchunguzi upo?
Mahakama pia inaamini kwenye saikolojia ya jamii hivyo kuapa kunamaanisha utasema kweli tupu kwakuwa unamuogopa mungu wako kusema uongo .Sasa ukisema uongo ni wewe na mungu wako.Utakachokisema mahakamani mahakama hukipima kama kweli kinawezesha kutenda haki .kushinda kesi au kushindwa ni kutokana na uzito wa ukweli uliousema mahakamani juu ya shahuri husikaMahakamani kuna kuapa kwa kutumia vitabu vya kidini, kama huna dini au mpagani Kuapa unanyoosha mkono juu.