MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,707
- 21,867
Ukishusha bei nicheki.😱mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
Ujumbe ume fikamimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
bei ya nini?Ukishusha bei nicheki.😱
Ya kusponsorbei ya nini?
mbona wanawake wanasaidiwa tu ? kuna watu wanadai eti wahongaji hawapo kisa magufuli .wakati yeye hajawai kuhonga toka enzi za nyerere! wahongaji wapo na hawaaachi kwa hali yoyoteUjumbe ume fika
Hata masponsor wamepunguza speed aiseemimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
sasa hivi nina full sponsorship ,kazi,nyumba ,maji ,umeme ulinzi na chakula sina pa kukuwekaYa kusponsor
hao wadada kipindi cha jk ulikuwa unawalisha wewe?Hata masponsor wamepunguza speed aisee
Kama pesa ipo mbona fresh tumbona wanawake wanasaidiwa tu ? kuna watu wanadai eti wahongaji hawapo kisa magufuli .wakati yeye hajawai kuhonga toka enzi za nyerere! wahongaji wapo na hawaaachi kwa hali yoyote
[emoji180] [emoji180] imepenya iyooomimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
unaonga ili iweje, au upate nini!mbona wanawake wanasaidiwa tu ? kuna watu wanadai eti wahongaji hawapo kisa magufuli .wakati yeye hajawai kuhonga toka enzi za nyerere! wahongaji wapo na hawaaachi kwa hali yoyote
Mbona umekuja kuwa wa bei rahisi sana??? Yaani hivyo tu ndo unaviita sponsorship??? Da fak.sasa hivi nina full sponsorship ,kazi,nyumba ,maji ,umeme ulinzi na chakula sina pa kukuweka
Itakuwa somo la customer care limewaingia, Huduma kwa mtejaKuna madada wawili watatu nawajua ambao walikuwa na maringo balaa siku za nyuma lkn oversudden nawaona wanabadilika kwa kasi ya 4G.
1.Mfano kuna mmoja nilisoma nae siku za nyuma,alikuwa montress alikuwa hanipendi balaa yaani kwa siku alikuwa ananiandika mara tatu swahili speaker lkn cha ajabu jana ananitumia txt eti MSAGA SUMU hivi unajua nilkuwa nakukubali tokea siku ya kwanza.
2.kuna dada mwingine alikuwa CRDB kijitonyama kaunta,niliwahi kumuomba chenji ya buku 10,aisee aliniangalia jicho baya halafu akaniambia niende kwenye ATM kuchukua chenji, basi leo nimeenda na mishe zangu zingine ile kuniona tu akaniwahi kaka unahitaji chenji? Niksema tayari nimeisha chenji kwenye ATM.
Wadau hii hali inaweza kuwa inasababishwa na hasara zinazopata hizo benki au vipi? Au ndo wanajua kuwa kuna layoff za maana inafuata so wanaanda mazingira mazuri ya sisi madalali kuuza magari yao ya mkopo?
Au kuna kitu kingine mimi sikijui?
Labda kwakoHata masponsor wamepunguza speed aisee