mkuu hiyo mbona ndogo,alteza ni less than 10% ya hiyo hela.Kuna rafiki yangu ameenda benki kuomba mkopo wa 100M. Afisa wa Mikopo kwenye hiyo benki akamtaka wakaongelee sehemu yenye utulivu. Ila nia yake awatoe lunch hao majamaa.
Kufika kwenye hiyo hoteli wakapiga msosi kama wa 200,000. Waliporudi ofisini, yule afisa wa benki akamwambia kama anataka 100M basi amuwekee Altezza hapo mezani akimaanisha amuachie 10M.
Ukiangalia muomba mkopo ana vigezo kabisa iweje hao maafisa waombe hiko kiasi cha pesa?
Wataalamu wa kuomba na kuidhinisha mikopo naomba mnieleweshe hapo.
mkuu hiyo mbona ndogo,alteza ni less than 10% ya hiyo hela.
Pia akiamua kukufanyia ukaguzi wa kiuhakika unakuta una 40m.
yote kwa yote mifumo ya wafanyambiashara wengi wanakwepa kodi wakienda benk wanataka hela mingi. Kimahesabu hivi vitu haviendi pamoja. rushwa ni mbaya pia,kama kweli umetimiza vigezo,kama unabebwa na wewe beba.
mara nyingi ukiwa haujatimiza vigezo ndo mambo ya rushwa yanaanza. ukitimiza unakomaa nae tu au unaenda kwa bosi wake
Kuna rafiki yangu ameenda benki kuomba mkopo wa 100M. Afisa wa Mikopo kwenye hiyo benki akamtaka wakaongelee sehemu yenye utulivu. Ila nia yake awatoe lunch hao majamaa.