Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,064
Fremason.
Hata mimi nimekuwa nikidhani hivyo....hakuna jingineFremason.
Dah Huyu wetu ndio naona wazo jamaa wamempa kitu faster lolkwa Michael Jackson hata mimi naweza kuleta ushahidi....ni ukweli usiopingika hao jamaa walimuwahi....wengine sina uhakika.....
Hii ni mitizamo ambayo inatokana na mazingira ya maisha tunayoishi na matukio ya wahusika....lisemwalo lipoHaya mambo ya kusema freemasons kuna siku tutasema JF NI YA FREEMASONS
Members wote wa jamiiforum ni freemason ndio maana majina yao halis hayatokei.
Haya mambo ya kusema freemasons kuna siku tutasema JF NI YA FREEMASONS