Yomakon JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 638 Reaction score 680 Oct 16, 2016 #1 Jamani wanaJamiiForums, Hebu tujaribu kubadilika. Kwanini kila kila siku iendayo kwa Mungu tunawajadili wanawake na kuwahadhirisha? Inakuwa sio poa sana kaa ukijua bila mwanamke hakuna mtu... Badilikeni bhana.
Jamani wanaJamiiForums, Hebu tujaribu kubadilika. Kwanini kila kila siku iendayo kwa Mungu tunawajadili wanawake na kuwahadhirisha? Inakuwa sio poa sana kaa ukijua bila mwanamke hakuna mtu... Badilikeni bhana.
venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,777 Reaction score 4,080 Oct 16, 2016 #2 Maisha bila watt wa kike hayaendi. Wanakujaga hapa kujifariji tu, wazoee. hii ndiyo jf Ukimwaga mboga tunamwaga ugali.
Maisha bila watt wa kike hayaendi. Wanakujaga hapa kujifariji tu, wazoee. hii ndiyo jf Ukimwaga mboga tunamwaga ugali.
Sefu jafary JF-Expert Member Joined Jun 5, 2016 Posts 382 Reaction score 258 Oct 16, 2016 #3 Wengi wao hawapo serious ndo maana watasemwa hadi kesho
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,780 Reaction score 12,585 Oct 16, 2016 #4 Achana nao hao wanaowasema wanawake wakati ... wanalilia, wakimwaga ugali tunakula mboga
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,484 Reaction score 29,964 Oct 16, 2016 #5 venossah said: Maisha bila watt wa kike hayaendi. Wanakujaga hapa kujifariji tu, wazoee. hii ndiyo jf Ukimwaga mboga tunamwaga ugali. Click to expand... Avatar yako imefanya damu yangu ichemke
venossah said: Maisha bila watt wa kike hayaendi. Wanakujaga hapa kujifariji tu, wazoee. hii ndiyo jf Ukimwaga mboga tunamwaga ugali. Click to expand... Avatar yako imefanya damu yangu ichemke
venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,777 Reaction score 4,080 Oct 16, 2016 #6 Otorong'ong'o said: Avatar yako imefanya damu yangu ichemke Click to expand... Kwani vp mkuu, avatar ina moto au
Otorong'ong'o said: Avatar yako imefanya damu yangu ichemke Click to expand... Kwani vp mkuu, avatar ina moto au
venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,777 Reaction score 4,080 Oct 16, 2016 #7 Sefu jafary said: Wengi wao hawapo serious ndo maana watasemwa hadi kesho Click to expand... Nina uhakika hata na ww hujawajua vzr. Wanawake wa jf si wa mchezo mchezo,
Sefu jafary said: Wengi wao hawapo serious ndo maana watasemwa hadi kesho Click to expand... Nina uhakika hata na ww hujawajua vzr. Wanawake wa jf si wa mchezo mchezo,
Yomakon JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 638 Reaction score 680 Oct 16, 2016 Thread starter #8 Sefu jafary said: Wengi wao hawapo serious ndo maana watasemwa hadi kesho Click to expand... Hawako serious kivp eleza?
Sefu jafary said: Wengi wao hawapo serious ndo maana watasemwa hadi kesho Click to expand... Hawako serious kivp eleza?
Sefu jafary JF-Expert Member Joined Jun 5, 2016 Posts 382 Reaction score 258 Oct 17, 2016 #9 Kwa majungu wanazhika nafasi ya kwanza,tofauti na sisi huwa tukikutana zaidi ya mtu mbili tunajadili mambo ya sekondari lakini sio hawa.
Kwa majungu wanazhika nafasi ya kwanza,tofauti na sisi huwa tukikutana zaidi ya mtu mbili tunajadili mambo ya sekondari lakini sio hawa.