Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 884 Feb 26, 2012 #21 ''Kunguru mjanja hukimbiza bawa lake''.Hataki kuwa accountable kwa kuwa anajua uwezo wake wa kudeal na crises ni mdogo sana ni bora aje kwenye maziko na kutoa rambirambi.
''Kunguru mjanja hukimbiza bawa lake''.Hataki kuwa accountable kwa kuwa anajua uwezo wake wa kudeal na crises ni mdogo sana ni bora aje kwenye maziko na kutoa rambirambi.