goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,855
- 12,989
Habari wakuu,
Kuna wakati tulikuwa tuna fuatilia kesi moja ya dogo mpuuzi aliyemlawiti na kumbaka kwa pamoja ndugu yangu. Ila ajabu yule kijana aliwekewa dhamana na kutoka baada ya siku mbili, akiwa mahabusu ya police central Arusha na kutuacha vichwa chini tukiwa tunajuwa kabisa kuwa huyu ni maisha ataozea jela. Kesi ilipigwa juu kwa juu kwani alikuwa na ndugu yake mwenye pesa. Kesi iliisha kimasiara wakati kijana alikutwa live bila chenga akimlawiti ndugu yangu mtoto mdogo.
Naomba wanasheria waje hapa wanieleze kwanini kesi za namna hii zimewekewa dhamana, hii si hatari sasa ikiwa watuhumiwa wanajua kabsa kuwa watachomoka tu.
Nimekuwa nikifatilia sana habar za mahakama kwa kusoma kwenye magazeti na kutazama kupitia vyombo vya habr ila sijawai kuona mtuhumiwa wa ubakaji na ulawiti amepelekwa jela miaka kadhaa. Sijui nyinyi mmesikia wapi zaid sana ile ya babu seya tu na sasa kaachiwa .
Leo nimeona pia mkasa kupitia hapa hapa JF.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Nini kifanyike ili mtoto aliyelatiwa asipate madhara ukubwani?
Habari za usiku, Naombeni mnisaidie kwa wataalamu wa afya, mtoto wa dada angu amelawitiwa shuleni kama mara mbili kwa maelezo yake, umri wake 8 years, amepimwa magonjwa hana, kesi ipo Polisi kwa mtuhumiwa, alikuwa ameanza dalili zakujisaidia kila mara chooni baadhi ya siku, nini kifanyike...
www.jamiiforums.com