Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Feb 28, 2017 #21 Mussolin5 said: Yamekua hayo Click to expand... Ndiyo Mkuu.
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,883 Reaction score 2,565 Mar 5, 2017 #22 mr.sparon said: Tatzo sio yondan... Tatzo n kiungo mkabaj...team ilikufa sana pale kat...n sawa na simba... First 11 kocha alizingua kabsa lakn aliwah ku react Click to expand... Kutoka kwa Kamusoko kuliua kiungo Yanga. Pia commitment kubwa ya wachezaji wa Simba kulichochea mapambano na hivyo kuidhoofisha Yanga a.k.a Ngada FC
mr.sparon said: Tatzo sio yondan... Tatzo n kiungo mkabaj...team ilikufa sana pale kat...n sawa na simba... First 11 kocha alizingua kabsa lakn aliwah ku react Click to expand... Kutoka kwa Kamusoko kuliua kiungo Yanga. Pia commitment kubwa ya wachezaji wa Simba kulichochea mapambano na hivyo kuidhoofisha Yanga a.k.a Ngada FC
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,883 Reaction score 2,565 Mar 5, 2017 #23 mr.sparon said: Tatzo sio yondan... Tatzo n kiungo mkabaj...team ilikufa sana pale kat...n sawa na simba... First 11 kocha alizingua kabsa lakn aliwah ku react Click to expand... Kutoka kwa Kamusoko kuliua kiungo Yanga. Pia commitment kubwa ya wachezaji wa Simba kulichochea mapambano na hivyo kuidhoofisha Yanga a.k.a Ngada FC
mr.sparon said: Tatzo sio yondan... Tatzo n kiungo mkabaj...team ilikufa sana pale kat...n sawa na simba... First 11 kocha alizingua kabsa lakn aliwah ku react Click to expand... Kutoka kwa Kamusoko kuliua kiungo Yanga. Pia commitment kubwa ya wachezaji wa Simba kulichochea mapambano na hivyo kuidhoofisha Yanga a.k.a Ngada FC
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,883 Reaction score 2,565 Mar 5, 2017 #24 INGENJA said: dante alikuwa tatizo pia poor marking ,hata dida goli la pili ni uzembe wake kipa makini nadra sana kufungwa kwenye angle unayo iamini alafu mpigaji akiwa umbali ule Click to expand... Kwa goli lile,Dida hakuwa na la kufanya kwa kuwa matarajio yake na akili ya mfungaji ilikuwa tofauti
INGENJA said: dante alikuwa tatizo pia poor marking ,hata dida goli la pili ni uzembe wake kipa makini nadra sana kufungwa kwenye angle unayo iamini alafu mpigaji akiwa umbali ule Click to expand... Kwa goli lile,Dida hakuwa na la kufanya kwa kuwa matarajio yake na akili ya mfungaji ilikuwa tofauti
Richard chilongani JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 324 Reaction score 112 Mar 5, 2017 #25 Mlisha gongwa songa mbele