Kwanini Karia asijitathimini?

Hii sio familia ya mtu ni taasisi ya watu 67m
Kwani karia amechaguliwa na nani?
Unajua nyie ni wapuuzi sana msio waz mbele wala Nyuma.
Karia huyu huyu chini ya Uongozi wake Yanga imechukua vikombe vya Ligi mara 3 misimu mitatu mfululizo.

Swali je karia leo ndio anakosea au shida iko wapi?
 
Kwani karia amechaguliwa na nani?
Unajua nyie ni wapuuzi sana msio waz mbele wala Nyuma.
Karia huyu huyu chini ya Uongozi wake Yanga imechukua vikombe vya Ligi mara 3 misimu mitatu mfululizo.

Swali je karia leo ndio anakosea au shida iko wapi?
Wewe ni mpuuzi kabisa, Yanga imechukua ubingwa mfululizo kutokana na uwezo mkubwa wa wachezaji na mabenchi ya ufundi na uongozi bora wa Hersi na uwekezaji wa gsm, finito. Karia kaja TFF wakati ule yanga inakinga bakuli Manji hayupo. Karia kuona hivyo akapitisha kanuni ya kusajiri wachezaji 8 Kila timu kwakuwa Simba ilikuwa na mo, akina kuwa Yanga haiwezi kumudu kusajili wachezaji 8 wa kigeni. Hii ilisababisha Simba kushinda mfululizo mara 4. Ujio wa gsm na Hersi ndiyo turning point ya Yanga.
 
Kuna haja ya
kubadilisha kanuni!
 
Tokea lini mhuni akawa na aibu!
 
Safari hii hatutaki rais wa TFF mwenye tumbo kubwa kama Karia. Maana watu wengi (siyo wote) wenye matumbo makubwa, mara nyingi hupenda kuzihifadhi akili zao huko (tumboni), badala ya kichwani.
Na tutapambana mpka mwisho
 
Mwanachama wa CCM nae anamlaumu karia

Ukimwambia No Reform no Election anajaa Sumu
 
Mwanachama wa CCM nae anamlaumu karia

Ukimwambia No Reform no Election anajaa Sumu
Tuhuma mpya ya Karia ni kununua endorsements 46 kati ya 47, hivyo amepota bila kupingwa kwenye nafasi ya Rais wa TFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…