Hoja yako nzuriMafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo.
TFF ya Karia ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia kanuni za mpira kwenye usajili wa wachezaji, uhamaji wa wachezaji kutoka timu Moja kwenda nyingine, kupanga ratiba zisizo na malalamiko na viporo vingi, kutoa zawadi za washindi, ubora wa waamuzi, na kuahirisha mechi kiholela.
Kazi zake nyingine ilibidi zifanywe na watu wengine wakiwemo mawaziri na Rais wa nchi ili kurekebisha mambo mpira uchezwe.
Karia ameshindwa kabisa kushirikiana na wadau muhimu wa mpira kama timu anazoziongoza na wadau wengine. Alitumia authoritarian/dictatorship (yaani Fanya ninachokuambia) kama njia yake ya kuongoza taasisi, hakuruhisu mijadala na maoni kutoka kwa wadau.
Kama sio busara za wawekezaji, viongozi wa timu, mashabiki, wachambuzi, serikali na Rais wa nchi mwenye huenda maafa makubwa na uharibifu wa mali ungetokea mkubwa sana. Mfano, unaona timu pamoja na uwekezaji wake mkubwa unaona inashika daraja kwasababu za waamuzi, ratiba mbaya na adhabu zisizokuwa na kichwa Wala miguu.
Kwanini asijitafakari kutuachia mpira wetu?
Provocative and biasedMafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo.
TFF ya Karia ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia kanuni za mpira kwenye usajili wa wachezaji, uhamaji wa wachezaji kutoka timu Moja kwenda nyingine, kupanga ratiba zisizo na malalamiko na viporo vingi, kutoa zawadi za washindi, ubora wa waamuzi, na kuahirisha mechi kiholela.
Kazi zake nyingine ilibidi zifanywe na watu wengine wakiwemo mawaziri na Rais wa nchi ili kurekebisha mambo mpira uchezwe.
Karia ameshindwa kabisa kushirikiana na wadau muhimu wa mpira kama timu anazoziongoza na wadau wengine. Alitumia authoritarian/dictatorship (yaani Fanya ninachokuambia) kama njia yake ya kuongoza taasisi, hakuruhisu mijadala na maoni kutoka kwa wadau.
Kama sio busara za wawekezaji, viongozi wa timu, mashabiki, wachambuzi, serikali na Rais wa nchi mwenye huenda maafa makubwa na uharibifu wa mali ungetokea mkubwa sana. Mfano, unaona timu pamoja na uwekezaji wake mkubwa unaona inashika daraja kwasababu za waamuzi, ratiba mbaya na adhabu zisizokuwa na kichwa Wala miguu.
Kwanini asijitafakari kutuachia mpira wetu?
Mayai lazima anachukua form. Salamba pia kwenye kamati tendaji.👇Nampendekeza ally mayai
Hafai kabisa.Mafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo.
TFF ya Karia ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia kanuni za mpira kwenye usajili wa wachezaji, uhamaji wa wachezaji kutoka timu Moja kwenda nyingine, kupanga ratiba zisizo na malalamiko na viporo vingi, kutoa zawadi za washindi, ubora wa waamuzi, na kuahirisha mechi kiholela.
Kazi zake nyingine ilibidi zifanywe na watu wengine wakiwemo mawaziri na Rais wa nchi ili kurekebisha mambo mpira uchezwe.
Karia ameshindwa kabisa kushirikiana na wadau muhimu wa mpira kama timu anazoziongoza na wadau wengine. Alitumia authoritarian/dictatorship (yaanika Fanya ninachokuambia) kama njia yake ya kuongoza taasisi, hakuruhisu mijadala na maoni kutoka kwa wadau.
Kama sio busara za wawekezaji, viongozi wa timu, mashabiki, wachambuzi, serikali na Rais wa nchi mwenye huenda maafa makubwa na uharibifu wa mali ungetokea mkubwa sana. Mfano, unaona timu pamoja na uwekezaji wake mkubwa unaona inashika daraja kwasababu za waamuzi, ratiba mbaya na adhabu zisizokuwa na kichwa Wala miguu.
Kwanini asijitafakari kutuachia mpira wetu?
Ametusumbua sana, Kila siku ukiangalia interview zake anaonyeaha ubabe na dharau kwa wengine. Amesahau kuwa clubs ndizo zinazombeba kwa uwekezaji wao.Safari hii hatutaki rais wa TFF mwenye tumbo kubwa kama Karia. Maana watu wengi (siyo wote) wenye matumbo makubwa, mara nyingi hupenda kuzihifadhi akili zao huko (tumboni), badala ya kichwani.
Lakini anaonyesha ukali kwa wale ambao wamechoka mpiraAmetusumbua sana, Kila siku ukiangalia interview zake anaonyeaha ubabe na dharau kwa wengine.
Hata serikali inajua kuwa TFF haijachangia chochote kwenye mafanikio ya mpira nchi hii ndiyo maana mara nyingi wanaosifiwa ni GSM, Baresa na MoMafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo.
TFF ya Karia ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia kanuni za mpira kwenye usajili wa wachezaji, uhamaji wa wachezaji kutoka timu Moja kwenda nyingine, kupanga ratiba zisizo na malalamiko na viporo vingi, kutoa zawadi za washindi, ubora wa waamuzi, na kuahirisha mechi kiholela.
Kazi zake nyingine ilibidi zifanywe na watu wengine wakiwemo mawaziri na Rais wa nchi ili kurekebisha mambo mpira uchezwe.
Karia ameshindwa kabisa kushirikiana na wadau muhimu wa mpira kama timu anazoziongoza na wadau wengine. Alitumia authoritarian/dictatorship (yaani Fanya ninachokuambia) kama njia yake ya kuongoza taasisi, hakuruhisu mijadala na maoni kutoka kwa wadau.
Kama sio busara za wawekezaji, viongozi wa timu, mashabiki, wachambuzi, serikali na Rais wa nchi mwenye huenda maafa makubwa na uharibifu wa mali ungetokea mkubwa sana. Mfano, unaona timu pamoja na uwekezaji wake mkubwa unaona inashika daraja kwasababu za waamuzi, ratiba mbaya na adhabu zisizokuwa na kichwa Wala miguu.
Kwanini asijitafakari kutuachia mpira wetu?
Bwacha suguLakini anaonyesha ukali kwa wale ambao wamechoka mpira
Lakini anaonyesha ukali kwa wale ambao wamechoka mpira
Msomali akaongoze mpira kwao.Mafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo.
TFF ya Karia ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia kanuni za mpira kwenye usajili wa wachezaji, uhamaji wa wachezaji kutoka timu Moja kwenda nyingine, kupanga ratiba zisizo na malalamiko na viporo vingi, kutoa zawadi za washindi, ubora wa waamuzi, na kuahirisha mechi kiholela.
Kazi zake nyingine ilibidi zifanywe na watu wengine wakiwemo mawaziri na Rais wa nchi ili kurekebisha mambo mpira uchezwe.
Karia ameshindwa kabisa kushirikiana na wadau muhimu wa mpira kama timu anazoziongoza na wadau wengine. Alitumia authoritarian/dictatorship (yaani Fanya ninachokuambia) kama njia yake ya kuongoza taasisi, hakuruhisu mijadala na maoni kutoka kwa wadau.
Kama sio busara za wawekezaji, viongozi wa timu, mashabiki, wachambuzi, serikali na Rais wa nchi mwenye huenda maafa makubwa na uharibifu wa mali ungetokea mkubwa sana. Mfano, unaona timu pamoja na uwekezaji wake mkubwa unaona inashika daraja kwasababu za waamuzi, ratiba mbaya na adhabu zisizokuwa na kichwa Wala miguu.
Kwanini asijitafakari kutuachia mpira wetu?
Eti Yanga wakachwze sinema zetu. Amesahau kuwa TFF na mpira wote nchini unaendeshwa na Simba na Yanga. Anawadhihaki mabosi wake wanaompa kula, Hata timu nyingine ndogo zinapata mapato zikicheza na Simba na Yanga, hata wadhamini wa timu ndogo kwenye ligi wanapata faida timu hizo zikicheza na Simba na Yanga, hata viwanja vya mpira vya CCM vinapata pesa siku Yanga na Simba zikichezea viwanja hivyo. Hata Azam, NBC, TBC na CRDB wamekuja kwenye ligi kuzifuata Simba na Yanga tu.Msomali akaongoze mpira kwao.
Anawambia watu wacheze sinema zetu???
Anacheza yye sasa