Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
NakaziaKwani kuna mtu anateseka.
Hata kama humpendi Samia sio Kwa kiwango hiki punguza kumchukia Rais wako.Kawaida, wakuu wastaafu wa majeshi/ wanajeshi active, huteuliwa kushika nafasi pale ambapo serikali huona kuna hatari, au tishio la kiusalama.
Hili limeshafanyika mikoa kadhaa ya pembezoni, mfano Kagera na Kigoma kwa kuwapa wakuu wa mikoa hiyo wanajeshi ili kuiongoza.
Hivyo, huu uteuzi wa Mabeyo kuwa mwenyekiti wa bodi ya Ngorongoro, wakati huu ambapo kuna malalamiko ya wamasai kupigwa na kuumizwa na vyombo vya usalama, maana yake Wamasai nao wanaonekana ni tishio la usalama kwa serikali ya Samia.
Ukimya wa Samia juu ya hilo suala, na kumteua kwake Mabeyo, maana yake amedhamiria kuona wamasai hawakai kwa amani pale walipozaliwa na kukulia vizazi vyao, Samia ameamua kuwanyima amani wamasai ili mjomba wake wa Oman aje kukaa kwa utulivu Ngorongoro.
TAWA na TANAPA pls wakuu mwenye kujua tofauti ya kiutendaji ya mashirika haya msaada wa kufahamuRais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ulifanyika juzi jioni muda mfupi baada ya kumwapisha Mkuu Mpya wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Salum Haji Othman.
Uteuzi huo wa Jenerali Mabeyo ni mwendelezo wa serikali kuteua ,aofisa wa juu wa jeshi kushika nyadhifa za mamlaka mbalimbali nyeti za serikali.
Lengo la serikali kuteua maofisa hao wakuu wa jeshi kuwa wenyeviti wa bodi katika mamlaka hizo, inaelezwa na wachambuzi kwamba ni kutokana na nidhamu yao,nia ya kulinda rasilimali za nchi na tabia zao za kiungwana.
Baadhi ya mamlaka zinazoshikwa na maofisa wakuu wa jeshi ni pamoja na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) ambayo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ni Meja Jenerali Mstaafu, Hamisi Semfuko na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ambalo Mwenyekiti wa Bodi ni Jenerali mstaafu George Waitara.
T
TAWA na TANAPA pls wakuu mwenye kujua tofauti ya kiutendaji ya mashirika haya msaada wa kufahamu
SeenRais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ulifanyika juzi jioni muda mfupi baada ya kumwapisha Mkuu Mpya wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Salum Haji Othman.
Uteuzi huo wa Jenerali Mabeyo ni mwendelezo wa serikali kuteua ,aofisa wa juu wa jeshi kushika nyadhifa za mamlaka mbalimbali nyeti za serikali.
Lengo la serikali kuteua maofisa hao wakuu wa jeshi kuwa wenyeviti wa bodi katika mamlaka hizo, inaelezwa na wachambuzi kwamba ni kutokana na nidhamu yao,nia ya kulinda rasilimali za nchi na tabia zao za kiungwana.
Baadhi ya mamlaka zinazoshikwa na maofisa wakuu wa jeshi ni pamoja na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) ambayo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ni Meja Jenerali Mstaafu, Hamisi Semfuko na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ambalo Mwenyekiti wa Bodi ni Jenerali mstaafu George Waitara.
Kama ni mwanamke sitashangaa kwa ulichokiandika but if you are the man jitafakariKawaida, wakuu wastaafu wa majeshi/ wanajeshi active, huteuliwa kushika nafasi pale ambapo serikali huona kuna hatari, au tishio la kiusalama.
Hili limeshafanyika mikoa kadhaa ya pembezoni, mfano Kagera na Kigoma kwa kuwapa wakuu wa mikoa hiyo wanajeshi ili kuiongoza.
Hivyo, huu uteuzi wa Mabeyo kuwa mwenyekiti wa bodi ya Ngorongoro, wakati huu ambapo kuna malalamiko ya wamasai kupigwa na kuumizwa na vyombo vya usalama, maana yake Wamasai nao wanaonekana ni tishio la usalama kwa serikali ya Samia.
Ukimya wa Samia juu ya hilo suala, na kumteua kwake Mabeyo, maana yake amedhamiria kuona wamasai hawakai kwa amani pale walipozaliwa na kukulia vizazi vyao, Samia ameamua kuwanyima amani wamasai ili mjomba wake wa Oman aje kukaa kwa utulivu Ngorongoro.
Mbona wakuu wa polisi wastaafu hawateuliwi kwenye bodi zozote?Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ulifanyika juzi jioni muda mfupi baada ya kumwapisha Mkuu Mpya wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Salum Haji Othman.
Uteuzi huo wa Jenerali Mabeyo ni mwendelezo wa serikali kuteua ,aofisa wa juu wa jeshi kushika nyadhifa za mamlaka mbalimbali nyeti za serikali.
Lengo la serikali kuteua maofisa hao wakuu wa jeshi kuwa wenyeviti wa bodi katika mamlaka hizo, inaelezwa na wachambuzi kwamba ni kutokana na nidhamu yao,nia ya kulinda rasilimali za nchi na tabia zao za kiungwana.
Baadhi ya mamlaka zinazoshikwa na maofisa wakuu wa jeshi ni pamoja na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) ambayo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ni Meja Jenerali Mstaafu, Hamisi Semfuko na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ambalo Mwenyekiti wa Bodi ni Jenerali mstaafu George Waitara.
Wala mmiliki wa kile kitalu cha uwindaji kule Loliondo sio mwarabu wa Oman [emoji1190].Kawaida, wakuu wastaafu wa majeshi/ wanajeshi active, huteuliwa kushika nafasi pale ambapo serikali huona kuna hatari, au tishio la kiusalama.