Tunamchukia sababu hakutusaidia watanzania kutoka kwenye unyonyaji wa makampuni ya simu, ingawa uwezo wa kutusaidia alikuwa nao, ila nia ndo hakuwa nayo, so hafai kupewa uwaziri ktk sarikali ya Rais wetu mpendwa Mhe. Dkt.John Joseph Pombe Magufuli
Nadhani si yeye tu. Kuna January makamba, ridhiwan kikwete, na somebody mgimwa (yule mtoto wa aliyekuwa waziri wa fedha). Hawa jamaa hawapendwi kitaa ni balaa.
Sababu ...tujadili