kwanini jamani wanaume mnafanya hivi???

Ndio maana mimi nina extend muda wa kukuzungusha ili attention 100% niipate kwa muda mrefu; ndoa tutafunga nikishaanza kuwa mzee mzee and by that time too much attention itakuwa usumbufu kwangu.

mnhhh tuzeeke mara ngapi? lol
 
mi sidhani kama nnakuwa nimechokwa,kwa sababu mwingine hata kuonana unakuwa hujawahi kuonana nae....anakuwa anakutafuta sana pindi tu utakapo anza na ww kumtafuta anaaanza kama kukupush hvi na ukianza na we kumpush anajirudi..sasa mi nachanganyikiwa.

Lazima ajirudi maana inabidi awe mpole hajakamilisha mission yake. Ila kiukweli upendo hupungua day after day kwa sababu ya wasichana/wanawake kuleta mapenzi ya drama. Pindi mazoea yanapozidi pia wanawake hujisahau na kuanza kijitabia kingine ambacho kimamboa mpenzi wake hadi kupelekea ampush hata asimkumbuke kabisa. Hayo ni maoni yangu binafsi, sijageneralize
 
what goes around...comes around....!!!
 
achana naye huyo, huenda hata sio mzima anajishaua tu aonekane naye mtongozaji.
Nami ilishanitokea once na sijaelewa kwa nini and l dont give a damn anymore, it is not my problem ni his.
 
ahahahhahahahhah!
nataka nifanye utafiti kama wanaume nao huwa wanaweka limbwata!

umehisi l am a victim wa limbwata ya The Boss eeh?
hapana, unajua nasi tunapenda kuhangaikia mawindo ndio yanakuwa na thamani; so the boss bila kumuhangaikia humpati Mkirua yupo available sana hadi haileti raha.
 
Last edited by a moderator:
Unajua mwanaume anapokuwa 100% concentrated in love then mwanamke anakuws 0% concentrated in love pia.Mwishoni wewe mwanamke unapokuwa 100% concentrated yeye anakuwa 0% concentrated.
 
umehisi l am a victim wa limbwata ya The Boss eeh?
hapana, unajua nasi tunapenda kuhangaikia mawindo ndio yanakuwa na thamani; so the boss bila kumuhangaikia humpati Mkirua yupo available sana hadi haileti raha.
nianzime nshale mmoja basi!
LOL!
kuna digidigi moja hv naliwinda lina mibio hilo!cha!
 
habari zenu mada nzuriiiiiiiiiii sana hii nitakuja baadae.
 
umehisi l am a victim wa limbwata ya The Boss eeh?
hapana, unajua nasi tunapenda kuhangaikia mawindo ndio yanakuwa na thamani; so the boss bila kumuhangaikia humpati Mkirua yupo available sana hadi haileti raha.

Yaani umekuwa kama kocha mchezaji....mbinu unanipa mwenyewe, nitakuwa mwanafunzi mzuri usijali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…