KWANINI IWE wa KIKE TUU.

Toffee

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
80
Reaction score
25
Wakubwa Shikamooni,---
Wadogo habari zenu.

Kuanguka na kupiga makelele kwa watoto Mashuleni hasa wa kike, nini kinacho sababisha hali hio? nikwanini wakike? na nini kifanyike kuwa nusuru wadogo zetu.? "Nawasilisha."
 
Marahabaaa.
Ili tatizo ligunduliwe mpaka iundwe tume ikimjumlisha waziri wa mambo ya ndani na yule daktari wa vasco wa kule bwaga mioyo yao yote baharini.
 
Nasikia tayari Serikali imekwishawasiliana na mtoto wa Shehe Yahaya na punde watakuja na majibu kwa watanzania ya nini kilichotokea pale.
 
JIBU NIKWAMBA MASICHANA NI RAHISI KUPATWA NA MASHETANI KULIKO WANAUME..! USHAIDI SHETANI ALIPITIA KWA EVA KUM ATTACK ADAMU SAWA..! if yr 'tian believer refer Genesis in the bible!
Wakubwa Shikamooni,---
Wadogo habari zenu.

Kuanguka na kupiga makelele kwa watoto Mashuleni hasa wa kike, nini kinacho sababisha hali hio? nikwanini wakike? na nini kifanyike kuwa nusuru wadogo zetu.? "Nawasilisha."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…