Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
basi endelea kuumia! mlifikiri mkidengua mtabembelezwa kama zamani!? huo muda umepita! mwaka juzi mlidanganyana na mbabaishaji membe eti sudan hakuna amani watu wakaenda na wakacheza wakarudi salama na safari mkaleta tena mapozi mkafikiri watawabembeleza, olaah! watu wamecheza na mshindi amepatikana! sasa endelea kuumia na azam itaendelea kusonga mbele na mpira wenu wa magazetini!
hapana, ile ya mtaani kwenu! yanga na simba timu za magumashi tu! wanachama wake (kama wewe na Makoye Matale) na viongozi wao wote magumashi! eti kiongozi anayestaafu anatamba mbele ya wanachama kuwa amewaachia shillingi 400m/= benki haujapita hata mwezi aliyempokea anasema hajaachiwa kitu! ptuu, wanachama wa yanga na simba mna akili kama za nyumbu!!
mmeshazoea kuhonga na mnadhani wote wanacheza mpira kwa kuhonga!Mbona hamjasonga mbele huko Rwanda? Hamkufika hata nusu fainali huku mkiwa wawakilishi wa nchi katika klabu bingwa barani Afrika! Mmelewa mi sifa tu huku mkiwa ovyo kuliko hata Simba na Yanga. Hamtafanikiwa hadi muache kuhonga vinginevyo mtaendelea kuimbishwa 'Ninayo hamu kurudi nyumbani... Kwetu pazuri nimeshapakumbuka...
tehe tehe tehe! yanga = simba = OKWI? timu za wababaishaji bana!Mbona hamjasonga mbele huko Rwanda? Hamkufika hata nusu fainali huku mkiwa wawakilishi wa nchi katika klabu bingwa barani Afrika! Mmelewa mi sifa tu huku mkiwa ovyo kuliko hata Simba na Yanga. Hamtafanikiwa hadi muache kuhonga vinginevyo mtaendelea kuimbishwa 'Ninayo hamu kurudi nyumbani... Kwetu pazuri nimeshapakumbuka...
nimekuwa nikijiuliza, faida ya kagame cup ni nini?ni kumtukuza rais kagame au ni kwasababu africa mashariki na kati hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuweka kombe kama alivyofanya kagame?
kwanini tunaliita kagame cup? huyo jamaa amekuwa adui wa watanzania kwa kitambo kwanini bado tunamtukuza adui aliyesema atamvizia rais wetu amtwange? watz kwanini tusiwaache kabisa hao na kombe lao la kagame na musyonye?
kwanini lisibadilishwe jina badala ya kuitwa kagame cup liitwe jina lolote linalohusiana na East and central africa?au pamoja na the horn of africa?
kwanini tunamtukuza kagame ambaye anazo allegation nyingi sana za mauaji ya wapinzani wake pamoja yaliyojiri hadi kufikia genocide Rwanda? kwanini tusibadilishe kabisa jina hili, kajamaa kametutawala?
kama ni mpira wa africa mashariki wote, tunatakiwa kubadilisha jina. zaidi sana angekuwa anatoa hela nyingi tungesema sijui, sasa mshindi wa kwanza anapata dola alfu 30 tu (ambazo manji anao uwezo kutoa mil. 100 watu waingie yanga bure),....