Vita haipiganwi kwa nani kupigwa au kutokupigwa, vita inapiganwa kwa nani anafaidika. Inaweza isirushwe hata silaha moja lakini watu wakawa wanafaidika.Vita,vita hususani kwa mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi,hupiganwa kwa njia ya ushirikiano mkubwa na uzalendo wa hali ya juu.
Wananchi wao na majeshi yao hutegemea urafiki kupiti baadhi ya mataifa yao ambayo ni washirika wanaofichiana siri na mambo mengi.
Washirika hao huanzisha vita kwa sababu yeyote wanayoitaka wao ikiwa ya wazi na ya siri na kujipanga na baadae kuja kuomba msamaha kuwa walikosea.
Iran na waarabu wengi,ni moja ya mataifa dhaifu katika ushirikiano,hiyo ni sababu moja kubwa sana ya Irani kupigwa mapema na Marekani na washirika wake,kwa sababu Marekani hatoenda vitani bila kuwa na watu watakao mzunguka pembeni kumnsaidia,ila Irani wakati akipigana atapigana kwanza na watu wake ambao hawamuuingi mkono bali watu hao watakua wanaunga mkono upande wa Marekani,na wakayti huohuo Marekani atapigana huku akipata ushirikiano kutoka kwa marafiki zake.
Wakati vita ikiwa katikati,uasi mkubwa utazuka ndani ya Irani na makundi mengi ya waasi kuzaliwa kutoka ndani ya jeshi la Irani,makundi haya yatakuwa yakitaka kupata mgao wao wa kiserikali na wao pia watakua wanapigana upande wa Marekani na hawa wataungwa mkono kwa muda,lakini baada ya serikali ya Iran kuangushwa makundi hayo yatageukwa na Marekani na kuhesabiwa kuwa ni makundi ya kigaidi,kwa sababu ifuatayo:
mAKUNDI YOTE MAWILI YATAACHIWA NCHI NA YATAANZA KUGOMBANIANA UTAWALA,kwa wakati huo viongozi wengi wa Irani watakua wamekimbia nchi,kukamatwa na wengine kuuwawa,huo utakua mwisho wa utawala wa kiislamu duniani.
Ikianguka Irani,utakua ndio mwisho wa utawala wa kiislamu na itachukua zaidi ya miaka elfu moja kurudi kwa tawala kama hizo.
Kwa sasa,haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Irani,inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.
Iran sio baba wa tawala za Kiislaam. Iran ni taifa lililojitambulisha kwamba ni la kiislaamKwahiyo Iran ndio baba wa tawala za kiislamu duniani
Mmerekani != MmarekaniVita haipiganwi kwa nani kupigwa au kutokupigwa, vita inapiganwa kwa nani anafaidika. Inaweza isirushwe hata silaha moja lakini watu wakawa wanafaidika.
Mmerekani hana sababu ya kupigana vita, yeye huanzisha chokochoko akakaa pembeni mtwangane alilowaanzishia huku yeye anafaidika na kuuza silaha na teknolojia zake. Kwake yupo salama salmini.
Mfano mzuri hapa kwetu, madini na rasilimali zote tulizonazo zinatusaidia nini sisi? Nani alinyanyua silaha kuipiga Tanzania? Tunaminywa tu ki intelijensia na njaa zetu wenyewe tunaachia kila kitu huku tunajisifu eti tunanunuwa madege! Khaa!
Vita ni zaidi ya kupigana. Silaha ni biashara. Mmerekani si mjinga arushe silaha yake ya gharama bila kujuwa nani anailipia, vile viwanda vinaendeshwa na watu kibiashara.
Vita ya sasa imebadilika sana ndugu mtoa mada.Saddam hussen kilichofanya ile vita kuwa nyepesi kwa coalition force ni kwa sababu wao wenyewe walikuwa wamechoka utawala wake wa kimabavu.vikosi vingi vya saddam vili sign mikataba ya amani na coalition force.Vita, vita hususani kwa mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi,hupiganwa kwa njia ya ushirikiano mkubwa na uzalendo wa hali ya juu.
Wananchi wao na majeshi yao hutegemea urafiki kupiti baadhi ya mataifa yao ambayo ni washirika wanaofichiana siri na mambo mengi.
Washirika hao huanzisha vita kwa sababu yeyote wanayoitaka wao ikiwa ya wazi na ya siri na kujipanga na baadae kuja kuomba msamaha kuwa walikosea.
Iran na waarabu wengi, ni moja ya mataifa dhaifu katika ushirikiano, hiyo ni sababu moja kubwa sana ya Iran kupigwa mapema na Marekani na washirika wake, kwa sababu Marekani hatoenda vitani bila kuwa na watu watakao mzunguka pembeni kumsaidia.
Ila Irani wakati akipigana atapigana kwanza na watu wake ambao hawamuuingi mkono bali watu hao watakua wanaunga mkono upande wa Marekani,na wakati huo huo Marekani atapigana huku akipata ushirikiano kutoka kwa marafiki zake.
Wakati vita ikiwa katikati, uasi mkubwa utazuka ndani ya Irani na makundi mengi ya waasi kuzaliwa kutoka ndani ya jeshi la Irani, makundi haya yatakuwa yakitaka kupata mgao wao wa kiserikali na wao pia watakua wanapigana upande wa Marekani na hawa wataungwa mkono kwa muda, lakini baada ya serikali ya Iran kuangushwa makundi hayo yatageukwa na Marekani na kuhesabiwa kuwa ni makundi ya kigaidi, kwa sababu ifuatayo:
MAKUNDI YOTE MAWILI YATAACHIWA NCHI NA YATAANZA KUGOMBANIANA UTAWALA, kwa wakati huo viongozi wengi wa Irani watakuwa wamekimbia nchi, kukamatwa na wengine kuuwawa, huo utakuwa mwisho wa utawala wa kiislamu duniani.
Ikianguka Irani,utakua ndio mwisho wa utawala wa kiislamu na itachukua zaidi ya miaka elfu moja kurudi kwa tawala kama hizo.
Kwa sasa, haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Iran, inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.
Sadam na wenzake walisahau sana makosa yao,wakapigwa.Vita ya sasa imebadilika sana ndugu mtoa mada.Saddam hussen kilichofanya ile vita kuwa nyepesi kwa coalition force ni kwa sababu wao wenyewe walikuwa wamechoka utawala wake wa kimabavu.vikosi vingi vya saddam vili sign mikataba ya amani na coalition force.
Sasa ivi kuna balistic missile ambazo zinawekwa vichwa vya nuclear alafu vinatumwa kukata hata bara, kulingana na adui yupo wapi.sasa usipokuwa makini unaweza ukaitoa kafara nchi yako kwa mamuzi ya kijinga.
Makombora kama haya ni kitu cha kawaida kwa iran.saddam yeye alijisahau akawekeza sana kwenye zana za kawaida na kuwa na wanajeshi wengi kwa kujua kuwa hata akivamiwa basi itakuwa ngumu kupambana na jeshi lake, alichosahau kuwa wale ni binadamu na awatokuwa watiifu kwake kwa miaka yote.
Mapanki kasema bora tule nyasi kuliko kutokuwa na balistic missile na vichwa vya nuclear.
Defence missile uwa si kitu cha kukiamini sana ndo maana wachambuzi wa mambo uwa wanatoa asilimia ndogo sana kwenye hii mifumo
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Ndio yalikuwa mahubiri kanisani kwenu?Vita, vita hususani kwa mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi,hupiganwa kwa njia ya ushirikiano mkubwa na uzalendo wa hali ya juu.
Wananchi wao na majeshi yao hutegemea urafiki kupiti baadhi ya mataifa yao ambayo ni washirika wanaofichiana siri na mambo mengi.
Washirika hao huanzisha vita kwa sababu yeyote wanayoitaka wao ikiwa ya wazi na ya siri na kujipanga na baadae kuja kuomba msamaha kuwa walikosea.
Iran na waarabu wengi, ni moja ya mataifa dhaifu katika ushirikiano, hiyo ni sababu moja kubwa sana ya Iran kupigwa mapema na Marekani na washirika wake, kwa sababu Marekani hatoenda vitani bila kuwa na watu watakao mzunguka pembeni kumsaidia.
Ila Irani wakati akipigana atapigana kwanza na watu wake ambao hawamuuingi mkono bali watu hao watakua wanaunga mkono upande wa Marekani,na wakati huo huo Marekani atapigana huku akipata ushirikiano kutoka kwa marafiki zake.
Wakati vita ikiwa katikati, uasi mkubwa utazuka ndani ya Irani na makundi mengi ya waasi kuzaliwa kutoka ndani ya jeshi la Irani, makundi haya yatakuwa yakitaka kupata mgao wao wa kiserikali na wao pia watakua wanapigana upande wa Marekani na hawa wataungwa mkono kwa muda, lakini baada ya serikali ya Iran kuangushwa makundi hayo yatageukwa na Marekani na kuhesabiwa kuwa ni makundi ya kigaidi, kwa sababu ifuatayo:
MAKUNDI YOTE MAWILI YATAACHIWA NCHI NA YATAANZA KUGOMBANIANA UTAWALA, kwa wakati huo viongozi wengi wa Irani watakuwa wamekimbia nchi, kukamatwa na wengine kuuwawa, huo utakuwa mwisho wa utawala wa kiislamu duniani.
Ikianguka Irani,utakua ndio mwisho wa utawala wa kiislamu na itachukua zaidi ya miaka elfu moja kurudi kwa tawala kama hizo.
Kwa sasa, haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Iran, inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.
Na ukweli wale ni mayahudi zaidi kuliko kuwa waislamuIran sio baba wa tawala za Kiislaam. Iran ni taifa lililojitambulisha kwamba ni la kiislaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada faizafoxy heri ya mwaka mpya na habar ya sikuVita haipiganwi kwa nani kupigwa au kutokupigwa, vita inapiganwa kwa nani anafaidika. Inaweza isirushwe hata silaha moja lakini watu wakawa wanafaidika.
Mmerekani hana sababu ya kupigana vita, yeye huanzisha chokochoko akakaa pembeni mtwangane alilowaanzishia huku yeye anafaidika na kuuza silaha na teknolojia zake. Kwake yupo salama salmini.
Mfano mzuri hapa kwetu, madini na rasilimali zote tulizonazo zinatusaidia nini sisi? Nani alinyanyua silaha kuipiga Tanzania? Tunaminywa tu ki intelijensia na njaa zetu wenyewe tunaachia kila kitu huku tunajisifu eti tunanunuwa madege! Khaa!
Vita ni zaidi ya kupigana. Silaha ni biashara. Mmerekani si mjinga arushe silaha yake ya gharama bila kujuwa nani anailipia, vile viwanda vinaendeshwa na watu kibiashara.
[emoji16][emoji16]Heshimu maoni broo'Kwa sasa,haihitajiki nguvu tena kuliangusha taifa la Irani,inahitaji akili ndogo sana ya kiwango cha mwisgo kuimaliza kama muirani na marafiki zake hawatobadilika wataangamia wote.'
Pale mchambuzi wa Vita kutoka Katavi anapowashauri ma General wa jeshi la Iran.
dodge
Kunywa Savanah popote ulipo mi ntalipiaVita haipiganwi kwa nani kupigwa au kutokupigwa, vita inapiganwa kwa nani anafaidika. Inaweza isirushwe hata silaha moja lakini watu wakawa wanafaidika.