GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,417
- 120,728
Utakuta Wanadamu Ni Wepesi Mno Kupeleka Nguo Zetu Mbalimbali Kwa MAFUNDI CHEREHANI Kuzishona Pindi Zinapotatuka au Kuraruka Lakini Tokea Nizaliwe Hadi Hivi Leo Sijawahi Kuona Mtu AKIPELEKA KWA FUNDI CHUPI YAKE LABDA ILIYOTOBOKA au KUTATUKA Ili Kushona KIRAKA Aina Ya Zig Zag Kama Tunavyofanya Katika Nguo Zetu Zingine.
Nini Sababu Kubwa Labda Inayopelekea WATU Kushindwa Kuwapelekea MAFUNDI CHEREHANI Nguo Zao Za Ndani ( CHUPI / KUFULI ) Pindi Zikihitaji Marekebisho Ya KIUSHONAJI Kusudi Zirejee Katika Hali Yake Ya Kawaida Na Ziendelee Kutumika?
Karibuni Wavaa Chupi Wenzangu Tutiririke!