... hii nchi sio ya ku-import ngano, sukari, au mafuta ya kula. Tunakosa chama chenye uwezo wa kuongoza nchi; kila mara ni maneno ya hadaa na vitisho (nchi haikabidhiwi kwa vikaratasi, amani na utulivu, kulinda mapinduzi matukufu, kulinda muungano kwa "nguvu" zote) ila uwezo ndio hivyo sifuri.