Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Jamaa sijawai mwelewaSimba nguvu moja
Hello nina swali kwakoJamaa sijawai mwelewa
Kabisa yule kichaa wampokonye ubaloziKichaa hafundishiki
Ask….Hello nina swali kwako
Wanaume bongo walibaki wachache sana kiongozi, bora warudishage jando kama zamani hata waweke kwenye mitaala ya sekondari tutapata watu wenye akili, kwa sasa wabongo mazombie tu kma manyani!Hi
Mimi binafsi huyu jamaa sikubaligi hata kidogo kwanza ana mdomo mchafu hana lugha mzuri mbele za watu hata kwa familia yake ilo lipo wazi
Chaajabu yanga wanaendelea kumbeba kwanini walimshindwa simba
Mfano kwatukio la leo hili ni udhariroshaji mwanaume unashindwa kuwa na kifua ukatatua matatizo badala yake unatumia watu ili wamchafue mkeo wa ndoa then unakuja mbele za watu kujifanya huna hatia
Sio sawa huyu wasingempa ubaalozi mpaka pale atakapo amua kubadirika mtoto wa kiume unashindana na mwanamke kweli
Wamelogwa 🤣Zungu, Mwijaku na Makonda huwa ninashaka na afya ya akili zao
Kabisa jando muhimuWanaume bongo walibaki wachache sana kiongozi, bora warudishage jando kama zamani hata waweke kwenye mitaala ya sekondari tutapata watu wenye akili, kwa sasa wabongo mazombie tu kma manyani!
Hamjanipa fatiki sasa mnataka nipike nini semeniMkuu lete vionjo vipya vya jikoni, achana na haji,,,, huyo anaoa mpaka anazeeka., ameshindwa kutofautisha kazi/umaarufu/maisha personal
Mmelima nini . Hapo mmechimba Tembo wasipite ?🤣🤣
Ndio maharagweeMmelima nini . Hapo mmechimba Tembo wasipite ?🤣🤣
Farm Manager nani kapelewele?Ndio maharagwee
GwareheeFarm Manager nani kapelewele?