Kwanini grosari hii inafungwa majogoo?

Kwanini grosari hii inafungwa majogoo?

paliemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
445
Reaction score
214
Wadau kuna kitu kime nishangaza saana huku kwetu kisiwani . Unajuwa katika kipindi hiki cha awamu ya tano tuna aminishwa kwamba kuna uwajibikaji mkubwa wa watumishi wa uma lakini pengine kwenye maeneo mengine, kunapwaya .
Hivi ni kweli jeshi la polisi halioni hii kitu? Inakuaje glocery inayo uza pombe watu wana kesha mpaka majogoo , je huu si unaweza ukawa mwanya wa warifu kufanya mambo yao kwa kisingizio kwamba wana kunywa bia?

Iweje kisiwani kuna baa kubwa nyingi zinazo fungwa saa sita kamili iweje hiki kiglosari kinakesha mpaka majogoo?

Tunaomba jeshi la polisi jaribuni kufuatilia nyenendo hapa inaweza kuwa kuna mambo yamejuficha au kuna baadhi ya maofisa wasio waaminifu wana kula mlungula na wanaruhusu kwa makusudi biashara ifanyike kwa muda ambao ama kibali hakiruhusu lakini kwa hila za viongozi wachache wenye tamaa.

Hiko kiglosary kinaitwa HOME BOY kinapatika geti jeusi barabara inayo shuka chini kushoto pale kwenye vibao vya shule .

Natanguliza shukrani zangu na nawatakia wahusika utekelezaji mwema.



########### EMBA
 
We nawe kama huna pesa za kukesha kula bata upunguze stress wahi nyumbani ukalale.We usiku wote huo ulikuwa unafanya nini nje kama na wewe hukuwa una danga
 
Kisiwani-Mwananyamala?
Kisiwani-Zanzibar?
Kisiwani-Upareni?

Li-porishi litafuatilia wapi sijui?
 
Kisiwani ndo wapi, mi niko huku ukerewe basi tueleweshane kama ni huku na mimi nikajiunge kwenye mkesha
 
Mbona watu wa visiwani mna wivu sana. Muache mwenzako atafute riziki wewe endelea kufuga majini maana ndio kazi mnayoiweza watu wa huko.
 
Hiyo grocery sio ya mwana ukawa, ingekuwa ilishavunjwa. anyway, ni ya wenyewe hiyo.
 
Kisiwani zipo kibao

Mwananyamala kisiwani

Mikocheni kisiwani

Msasani kisiwani

Kijitonyama kisiwani

Future jnl kaimba wimbo wa Kisiwani
 
Back
Top Bottom