Wakuu kila mara nikitaka ku google kitu website ya google inakua haipatikani wakati nakuwa na bundle na website zingine zinafunguka fresh tu. Naibahatisha kwa nadra sana
Natumia TTCL. Halotel na voda na zote napata hii shida.
Wakuu kila mara nikitaka ku google kitu website ya google inakua haipatikani wakati nakua na bundle na website zingine zinafunguka fresh tu
Naibahatisha kwa nadra sana
Natumia ttcl. Halotel na voda na zote napata hii shida
Same problem.
Natumia Google Chrome browser kuingia JF, lakini mara kadhaa napata shida kupenya wkt natumia 4g.
Ila nikiwa YouTube hali ni tofauti napenya bila shida.
Nikiwasha vpn ndo inafunguk faster faster.