BIN DINGO Member Joined Jul 31, 2018 Posts 5 Reaction score 0 Feb 10, 2022 #1 Kwanini ukija kuanza maisha Ulaya kama ulimaliza degree au level nyengine ya elimu kama umesoma Afrka haitambui elimu yako unaanza upya, nini tatizo?
Kwanini ukija kuanza maisha Ulaya kama ulimaliza degree au level nyengine ya elimu kama umesoma Afrka haitambui elimu yako unaanza upya, nini tatizo?
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,408 Reaction score 9,280 Feb 10, 2022 #2 Ulaya ipi na watu wanakuja huko kusoma masters na degree za kwanza za kutokea vyuo vyetu hivi vya Africa?
Ulaya ipi na watu wanakuja huko kusoma masters na degree za kwanza za kutokea vyuo vyetu hivi vya Africa?
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,591 Reaction score 3,388 Feb 10, 2022 #3 kijani11 said: Ulaya ipi na watu wanakuja huko kusoma masters na degree za kwanza za kutokea vyuo vyetu hivi vya Africa? Click to expand... Anazungimzia kufanya kazi na siyo kusoma
kijani11 said: Ulaya ipi na watu wanakuja huko kusoma masters na degree za kwanza za kutokea vyuo vyetu hivi vya Africa? Click to expand... Anazungimzia kufanya kazi na siyo kusoma
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,526 Reaction score 6,303 Feb 10, 2022 #4 Balaa yaani tuna akili ndogo sana , miafrika ndio tulivyo
samurai JF-Expert Member Joined Oct 16, 2010 Posts 11,476 Reaction score 24,262 Feb 10, 2022 #5 Tuanze kutoitambua Elimu ya Ulaya na sisi huku Africa..
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,072 Reaction score 40,659 Feb 10, 2022 #6 Hata wewe ungeutambuaje mfumo wa elimu ambao mhitimu wake hajui hata HISTORIA ya nchi yake.....?? Ungeutambuaje mfumo wa elimu ambao wahitimu wake ana amini kwenye kufaulu mitihani kuliko kujipatia maarifa....?? Ungeutambuaje mfumo wa elimu ambao wahitimu wake wanaoamini kwenye kuajiriwa serikalini pekee yake.....??
Hata wewe ungeutambuaje mfumo wa elimu ambao mhitimu wake hajui hata HISTORIA ya nchi yake.....?? Ungeutambuaje mfumo wa elimu ambao wahitimu wake ana amini kwenye kufaulu mitihani kuliko kujipatia maarifa....?? Ungeutambuaje mfumo wa elimu ambao wahitimu wake wanaoamini kwenye kuajiriwa serikalini pekee yake.....??
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,072 Reaction score 40,659 Feb 10, 2022 #7 kijani11 said: Ulaya ipi na watu wanakuja huko kusoma masters na degree za kwanza za kutokea vyuo vyetu hivi vya Africa? Click to expand... Nadhani kwenda kuongeza elimu ya kwao sio shida...Bali shida ipo kwenye kuitumia degree yake uliyoipata Africa kui apply kwao.....
kijani11 said: Ulaya ipi na watu wanakuja huko kusoma masters na degree za kwanza za kutokea vyuo vyetu hivi vya Africa? Click to expand... Nadhani kwenda kuongeza elimu ya kwao sio shida...Bali shida ipo kwenye kuitumia degree yake uliyoipata Africa kui apply kwao.....
akili akili JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,767 Reaction score 1,157 Feb 10, 2022 #8 Sio kweli , wapo watu wamesoma Tz na wanafanya kazi ng'ambo kwenye taaluma zao, ni competence yako tu.
Sio kweli , wapo watu wamesoma Tz na wanafanya kazi ng'ambo kwenye taaluma zao, ni competence yako tu.