Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,556
- 3,741
Hebu ona katuni waliyoipost leo
Hahaha nakusalimu Mh.Diwani!Hapo Uchochezi upo wapi bwana Bashite?
Wewe na mwandishi kuna tofauti gani, mwandishi kachora katuni wewe unaisambaza nani mchochezi zaidi?Hebu ona katuni waliyoipost leo
Kwa akili zako nchi yoyote ulaya ikitaka mali yoyote katika nchi yoyote ya kiafrica inakosa....??Ujerumani inataka kurudi Tanganyika koloni lake la zamani lakini inashindwa sasa wameamua kutumia chombo chao cha Propaganda DW kuipinga Serikali. Hadi leo hii Ujerumani inaitamani na kuiangalia kwa husda Tanganyika.
Acha niote wewe ndio unatafsiri ndoto.Kwa akili zako nchi yoyote ulaya ikitaka mali yoyote katika nchi yoyote ya kiafrica inakosa....??
Endelea kuota
Pesa ya kujengea reli kutoka Dar hadi Moro, 300km, ndio fedha ya ndani, itagharimu 2.8tr Tsh. Kutoka Moro hadi mwisho wa reli ni mkopo.Ni kweli alituambia pesa ya kujengea reli ipo sasa anakopa tena ya kujengea reli au ni mradi huu ni mpya?
Hebu ona katuni waliyoipost leo