Kwanini Chenge hashughulikiwi kisheria?

Huyo hagusiki kila anae thubutu kutaka kumgusa anajikuta kuna kadili walicheza wote huko nyuma anaamua kujitoa.
 
Unauliza kwa nini hashughulikiwi kisheria, kwani nje ya sheria anashughulikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…