Kwanini CHADEMA wanataka suluhu na Rais?

Kwanini CHADEMA wanataka suluhu na Rais?

Makusudically

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,215
Reaction score
1,240
Inashangaza watu ambao kwa nguvu zote walimkataa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyepewa ridhaa ya kuongoza nchi na watnzania wengi sana.

CHADEMA walikataa hata kujadiri hotuba yake, bila aibu wakatoka nje ya bunge kwa madai kwamba hawawezi kujadili hotuba ya Rais najisi hivyo na hotuba ni najisi.

Sasa leo wanamtaka Rais ashiriki nini ktk kuondoa dosari kwenye mchakato wa katiba?

Je unajisi wake umekwisha, nani alimtakasa?.
 
Hawa ni wakuhurumia tu sasa hivi wamechanganyikiwa hawajui wafanye nini sasa wanakula matapishi yao
 
CHADEMA imeundwa katika misingi ya kilaghai.

Sheria ya historia inasema, ukiwa muongo usiwe msahaurifu. Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA kwa sasa hawakumbuki walichokisema na kukitenda miaka mitatu iliyopita.

Kawaida ya walaghai ni kuonekana wakiwa wamevaa sura tofauti tofauti kulingana na mazingira.
 
inashangaza watu ambao kwa nguvu zote walimkataa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyepewa rihaa ya kuongoza nchi na watnzania wengi sana. Chadema walikataa hata kujadiri hotuba yake, bila aibu wakatoka nje ya bunge kwa madai kwamba hawawezi kujadili hotuba ya Rais najisi hivyo na hotuba ni nsjisi. Sasa leo wanamtaka Rais ashiriki nini ktk kuondoa dosari kwenye mchakato wa katiba? je unajisi wake umekwisha, nani alimtakasa?.
Ungejiuliza kwanza alikwenda kufanya nini bungeni kipindi kile?
 
CHADEMA imeundwa katika misingi ya kilaghai.

Sheria ya historia inasema, ukiwa muongo usiwe msahaurifu. Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA kwa sasa hawakumbuki walichokisema na kukitenda miaka mitatu iliyopita.

Kawaida ya walaghai ni kuonekana wakiwa wamevaa sura tofauti tofauti kulingana na mazingira.

Zungumzia kwanza Mnavyofisad hii nchi na Mnavyofanya siasa chafu kwakununua viongozi wa chadema
 
...naona mapepo leo yamechahamaa hayataki kabisa kusikia watu wakipatana...watanzania wote misikitini na makanisani tuongezeni sala na maombi ili tulinusulu taifa na nia mbaya ya haya mapepo ya kijani...HERI YA WALE WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU...sasa nyinyi vibwengi msiotaka upatanishi ni wana wa nani?...
 
...jambo moja na la kusifiwa ni kwamba chadema wameonyesha uzalendo na ukomavu wa kisiasa wa hali ya juu sana,kwanza wameonyesha tatizo la mchakato kwa kila hatua tangu ulipoletwa muswada,pili marazote wamekuwa mstari wa mbele kuwasumbua watawala wakubali mabadiliko kwa maslahi ya taifa,tatu wameonyesha njia na nia,na dhamira ya kweli ya kuleta katiba bora kwa watanzania. Naona rais anasuasua kukutana na ukawa kwa maana anajali zaidi maslahi ya chama kuliko taifa. Hongera chadema kwakuwa baba wa demokrasia tanzania....!
 
Saccos ya Mzee Mtei inakoelekea mh!Ni kama mzee Mtei anavyozeeka vibaya.
 
Anguko la chadema ndo hili

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Sasa unatakaje?.chadema wao wamwone maana ndiye aliyetoa msimamo.La sivyo tutaendelea kudai katiba mpya yenye muundo wa serikali 3,kwa kifupi ni kuwa TUNADAI TANGANYIKA YETU.
Inashangaza watu ambao kwa nguvu zote walimkataa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyepewa ridhaa ya kuongoza nchi na watnzania wengi sana.

CHADEMA walikataa hata kujadiri hotuba yake, bila aibu wakatoka nje ya bunge kwa madai kwamba hawawezi kujadili hotuba ya Rais najisi hivyo na hotuba ni najisi.

Sasa leo wanamtaka Rais ashiriki nini ktk kuondoa dosari kwenye mchakato wa katiba?

Je unajisi wake umekwisha, nani alimtakasa?.
 
Inashangaza watu ambao kwa nguvu zote walimkataa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyepewa ridhaa ya kuongoza nchi na watnzania wengi sana.

CHADEMA walikataa hata kujadiri hotuba yake, bila aibu wakatoka nje ya bunge kwa madai kwamba hawawezi kujadili hotuba ya Rais najisi hivyo na hotuba ni najisi.

Sasa leo wanamtaka Rais ashiriki nini ktk kuondoa dosari kwenye mchakato wa katiba?

Je unajisi wake umekwisha, nani alimtakasa?.
Tatizo lenu magamba, kila kitu mnakifanya propaganda.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ameelezea kwa ufasaha sana, kuhusu maamuzi ya kamati kuu yao, ya kuwa condition moja, inayopaswa kutawala katika mazungumzo, ya kusaka muafaka wa kurudi kwao, kwenye bunge la katiba, ni kuheshimiwa kwa maoni ya wananchi, kama yalivyokusanywa na Tume ya Warioba, na wao Ukawa, hawatakuwa tayar kurejea kwenye bunge la katiba, kama hawatahakikishiwa kuwa Rasimu itakayojadiliwa kwenye bunge hilo ni ile Rasimu, iliyoandaliwa na Tume ya Warioba, yenye maoni ya wananchi, na siyo Rasimu mbadala, iliyoandaliwa pale Lumumba, yenye maoni ya watu wachache sana, ambao wao maslahi binafsi na ya chama chao, ndiyo wanayoyapa kipaumbele, kuliko maslahi mapana ya Taifa hili la Tanzania.

Inawezekana magamba, wakaamua kwa makusudi kabisa kupotosha msimamo huo wa Ukawa, wakisaidiwa na vyombo vyao vya habari vya propaganda, lakini msimamo huo wa Ukawa, hauwezi kubadilika kwa kutumia propaganda machinery za wanaccm!
 
Pia wanapenda kupiga picha na Rais wakiwa ikulu ili wakawaonyeshe wapenzi wao
 
Inashangaza watu ambao kwa nguvu zote walimkataa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyepewa ridhaa ya kuongoza nchi na watnzania wengi sana.

CHADEMA walikataa hata kujadiri hotuba yake, bila aibu wakatoka nje ya bunge kwa madai kwamba hawawezi kujadili hotuba ya Rais najisi hivyo na hotuba ni najisi.

Sasa leo wanamtaka Rais ashiriki nini ktk kuondoa dosari kwenye mchakato wa katiba?

Je unajisi wake umekwisha, nani alimtakasa?.

If you cant beat them join them!
 
Back
Top Bottom