kwenye maamuzi kaka, we unafikiri hii nchi ina kiongozi sasa? kama Rais hawezi kutoa msimamo wake na ana wasaidizi wafyatukaji namna hii, wapi tunapoelekea? Makamba ni Manati yaani hufyatuka sidhani hata kama anajua kuandika speech! na kazi ya ukatibu mkuu si mchezo kama unajua significance ya hiyo position iwe chamani, wizarani au kwenye institution yeyote hata UN!