mkuu Standalone hebu fikisha huu ujumbe moja kwa moja kwa Mwenyekiti au katibu mkuu , hiki kilio cha watu wa ileje ni cha muda mrefu sana , hatuwezi kuendelea kuvumilia , unajua bhana kuna maeneo mengine kama ileje majani yamekwisha kauka yanahitaji kiberiti tu ili kuwasha moto .