Jamani kila siku tunasikia mkutano wa CHADEMA kila kona ya nchi. Mbona sioni mikutano kama hiyo jimbo ya Ileje?.
Nipo hapa Isongole watu tunazidi kutamani kuwaona viongozi wa kitaifa wakihutubia mikutano ya hadhara.
Tunaomba msitusahau katika ukombozi wa taifa letu na sisi ni watanzania kama Tunduma walivyo.
Kwa ujumbe huu naomba mtukumbuke kwa ziara.
Usijari kaka jiandae kupokea uzalendo toka ACT Chama cha wazalendo.
naomba tuheshimiane!!!!!. Ileje hatudanganyiki!!!!!.
act nendeni malawi
Huwezi kuwa na akili timamu tena unayetoka wilaya maskini, watu maskini kichwani mpaka kimaisha alafu ukachekelea jitihada za kurudisha nyuma ukombozi wa Watanzania. Ninawasiwasi na siamini kama wewe ni mwanaIleje wa kweli. Aidha utakuwa unakaa vyawa au Tunduma hivyo hujui taabu ya wanaIleje.Mi mwenyewe mwana ileje kaka kwetu bupigu tusigombane kwa ajili ya vyama tuijenge ileje yetu.
Huwezi kuwa na akili timamu tena unayetoka wilaya maskini, watu maskini kichwani mpaka kimaisha alafu ukachekelea jitihada za kurudisha nyuma ukombozi wa Watanzania. Ninawasiwasi na siamini kama wewe ni mwanaIleje wa kweli. Aidha utakuwa unakaa vyawa au Tunduma hivyo hujui taabu ya wanaIleje.
Watu wengine mnakera hata shetani anaweza kupendwa lakini siyo watu kama nyinyi!. Samahani kama nimetumia lugha kali but trust me!. We siyo wa Ileje kwa 100%.
Hatuwezi kujenga Ileje kwa kusaliti ukombozi. Hivi wewe hujifunzi tu!!!!. Shit!!!!.
Mi mwenyewe mwana ileje kaka kwetu bupigu tusigombane kwa ajili ya vyama tuijenge ileje yetu.
inafahamika kwamba Tanzania kuna njaa ; ni kweli na mimi nakubali , LAKINI NJAA YAKO NI KALI KUSHINDA ZOTE !Hivi kwa akili yako ukombozi upo CDM tu? Hujajua bado shindembwa!
Kwa hiyo ukombozi utapatikana kwa sapoti ya CCM?. Kama ndivyo, basi utakuwa kweli unatoka Ileje.Hivi kwa akili yako ukombozi upo CDM tu? Hujajua bado shindembwa!
ni mara chache sana kuona post ya kikakamavu na kikamanda kama hii , safi sana mkuu .Huwezi kuwa na akili timamu tena unayetoka wilaya maskini, watu maskini kichwani mpaka kimaisha alafu ukachekelea jitihada za kurudisha nyuma ukombozi wa Watanzania. Ninawasiwasi na siamini kama wewe ni mwanaIleje wa kweli. Aidha utakuwa unakaa vyawa au Tunduma hivyo hujui taabu ya wanaIleje.
Watu wengine mnakera hata shetani anaweza kupendwa lakini siyo watu kama nyinyi!. Samahani kama nimetumia lugha kali but trust me!. We siyo wa Ileje kwa 100%.
Hatuwezi kujenga Ileje kwa kusaliti ukombozi. Hivi wewe hujifunzi tu!!!!. Shit!!!!.
inafahamika kwamba Tanzania kuna njaa ; ni kweli na mimi nakubali , LAKINI NJAA YAKO NI KALI KUSHINDA ZOTE !