Kwanini CHADEMA haikuandaa mgombea urais 2015?

Kwanini CHADEMA haikuandaa mgombea urais 2015?

Makusudically

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,215
Reaction score
1,240
Je tuamini kuwa CHADEMA hakina mipango ya madhubuti ya kuingia Ikulu? Kwanini kusubiri mgombea makapi tena wakutoka CCM na ambaye ni fisadi? Je kama CHADEMA wanasubili wagombea wanaokataliwa CCM, je tuamini kuwa kumbe CCM inaviongozi wazuri sana kiasi kwamba wanaweza kutumiwa na Upinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu haikuaanda na ikapata kura mil.6=40%,je ingemuandaa mgombea wake si vifaru vyote na yale maji ya washawasha mngeyatumia kuwadhiti Chadema.

Tombatomba idevice Model TH 45
 
Kwanini Police Ccm Walichoma
Zile Ofisi Za Kuhakiki Matokeo
Ya Uchaguzi?
 
chadema ni wazuri kwenye fitna na majungu tu basi....si kwenye mipango endelevu ya maendeleo ya nchi hii.
kuwaharibia wenzao wanaoshine kama act ndio furaha yao kubwa, dhambi hii itawagharimu milele!
 
chadema ni wazuri kwenye fitna na majungu tu basi....si kwenye mipango endelevu ya maendeleo ya nchi hii.
kuwaharibia wenzao wanaoshine kama act ndio furaha yao kubwa, dhambi hii itawagharimu milele!
Act hii hii yenye mbunge 1 na madiwani 10 nchi nzima ndo inaonewa wivu,hahah.

Tombatomba idevice Model TH 45
 
Back
Top Bottom