Kwanini CCM inashinda uongozi, wakati watu hawakipendi?
Kwanini watuwote wanakilaumu chama hiki, lakini wakifanya mkutano unajaa?
Kwanini hata hao wanaotuhumiwa kukisaidia chama hiki (usalama wa taifa) wenyewe pia ukimpata mtu mmoja mmoja anakilaumu chama hiki, lakini ikifikia kutafuta kura wanawajibika?
Kwanini kila mtu analalamika maisha magumu (hata hao wanaoambiwa wamehongwa wanalalamika) lakini bado kwenye kura wanakua juu?
Tatizo nini!!!