Wapendwa wanaJF
Baada ya CCM kuendelea kuongoza Nchi kwa mazoea... na baada ya kushuhudia udhaifu mkubwa.. na baada ya kushindwa kuleta matumaini mapya kwa watanzania.... na baada ya kuona hali inaendelea kuwa mbaya kila kukicha.. kwanini CCM wasikubali kwa moyo mweupe kabisa... hasa kwa faida ya watanzania, na Tanzania kwa ujumla, waendelee kung'ang'ania kubaki madarakani?
kwanini wasikabidhi Nchi kwa Chadema au chama kingine chenye kutuleta matumaini mapya Tanzania?
Sio aibu kuachia ngazi wakati ni wazi nguvu za kuendelea mbele hazipo tena...
Ni busara na heshima mwingine akijaribu, kuliko kung'ang'ania kuendelea kubaki ilhali inaonekana wazi kuwa kusonga mbele ni ndoto... ni hayo tu maoni yangu...