Kwanini CCM wanaitwa ukoo wa Panya?

Kwanini CCM wanaitwa ukoo wa Panya?

Sengeon

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
529
Reaction score
113
CCM ni chama ambacho kimeamua kuitawala hii Nchi kifamilia. Na tena wanaitafuna Nchi wao na ndugu zao. Kwa mfano Sumari wa Arumeru mashariki alifariki CCM wakampa Sioi mwanaye kugombea akapigwa chini na Nassari.

Jimbo la Kalenga sasa kapewa mtoto wa Mgimwa, Chalinze kapewa Ridhiwani Kikwete. Sasa kwa taswira hiyo mtoto wa maskini atakuja kushika nafasi gani kama watoto wa viongozi tu ndio wanaopewa fursa kwa nafasi zinazotokea?

Na hili linadhihirisha wazi kuwa ndio sababu Serikali ya CCM haitaki kuboresha Elimu ya shule za kata ili watoto wa maskini waendelee kuwa mbumbumbu ili waendelee kuwatawala.

Kwa mfano Bot 80% ya waajiriwa ni watoto wa viongozi. Mashirika makubwa yote ya Serikali mameneja karibu wote ni Ndugu na jamaa wa Viongozi.

Hizo ndizo sababu ya ccm kuitwa ukoo wa Panya, Na wananchi tusipojihadhari Ukoo wa Panya watatafuna Nchi mpaka ifilisike.

Watu wa chini kwa nini tulikumbatie hili Lichama ambalo liko kwa ajili ya maslahi ya viongozi na watoto wao?.
 
Mbona majibu yapo wazi hawana maana kabisa yanayotokea bungeni yoote kwa ajili ya uroho tu yaani kuliko uikabidhi ccm nyama bora umkabidhi simba akishiba anaacha.
 
watu wa chini wanalikumbatia hili lichama lililoko kwa maslahi ya viongozi na watoto wao "kwa sababu ya umaskin wa akili"
 
Ccm ni chama ambacho kimeamua kuitawala hii Nchi kifamilia. Na tena wanaitafuna Nchi wao na ndugu zao. Kwa mfano Sumari wa Arumeru mashariki alifariki ccm wakampa Sioi mwanaye kugombea akapigwa chini na Nassari. Jimbo la Kalenga sasa kapewa mtoto wa Mgimwa, Chalinze kapewa Ridhiwani Kikwete. Sasa kwa taswira hiyo mtoto wa maskini atakuja kushika nafasi gani kama watoto wa viongozi tu ndio wanaopewa fursa kwa nafasi zinazotokea?. Na hili linadhihirisha wazi kuwa ndio sababu Serikali ya
 
mwisho wao utafika tu
mwisho wa ccm ni kuwa na chama bora kuliko ccm lakini sio hilo li chama lenu lilijaa maovu.halafu bila aibu mnakuwa na uroho wa kutawala nchi hii mijizi mikubwa kama nyie.mnafikiri watu ni wajinga sana
 
Inaonyesha sirinji imeingia vizuri. Tulia upone.
 
mm nilikuwa nashangaa kwann watoto wa viongoz wa ccm %kubwa ni mabonge wakati umri wao ni mdogo,leo jibu nimepata
 
umeandika kwa uchungu mno ! Wewe bila shaka ni mzalendo wa kweli , kiukweli mkuu , ujinga wa watanzania ndiyo mtaji wa ccm , ukichanganya umasikini wa kipato na akili jawabu lake linaitwa UOGA .
 
kwa hapa JF imedhihirika bila shaka yoyote kwamba WATETEZI WOTE WA CCM ni watoto wa viongozi wa juu au wake zao pamoja na MICHEPUKO YAO , KUMBUKA KWAMBA HAPA HAKUNA mtoto wala mke wa mjumbe wa shina !
 
mm nilikuwa nashangaa kwann watoto wa viongoz wa ccm %kubwa ni mabonge wakati umri wao ni mdogo,leo jibu nimepata

ni kweli , lakini mingine inanenepeana kutokana na mtindio wa ubongo unaosababishwa na kulakula ovyo hasa baada ya wazazi wao kufisidi nchi .
 
mwisho wa ccm ni kuwa na chama bora kuliko ccm lakini sio hilo li chama lenu lilijaa maovu.halafu bila aibu mnakuwa na uroho wa kutawala nchi hii mijizi mikubwa kama nyie.mnafikiri watu ni wajinga sana

Kwa sababu unawashwa akili hakuna namna ya kukusaidia heri ungewashwa ------ ungepata mkunaji hapo ahueni ingepatkana.Tumwombe mungu atende muujiza uwe kwenye kundi la walioongoka.
 
CHADEMA mngemaliza kwanza wizi na udokozi kwenye chama chenu kwanza ndipo mfikirie mambo ya nchi wakati huo mkiwa wasafi.
 
CHADEMA mngemaliza kwanza wizi na udokozi kwenye chama chenu kwanza ndipo mfikirie mambo ya nchi wakati huo mkiwa wasafi.

Tunazungumzia ukoo wa panya. Changia hoja acha kubabaika.
 
Back
Top Bottom