HATA WAKOLONI WALIKUWA WANADHARAU VYAMA VYA SIASA ENZI HIZO LAKINI TANU ILIPOSHIKA KASI YA UKOMBOZI WA KIFIKRA WALIIOGOPA KWANI ILIWAONYESHA DHAHIRI SHAHIRI KUWA NI LAZIMA WAFUNGASHE VIRAGO.,what goes around comes around ndio hayo twajionea leo.
Kumbe magwanda ni asili ya wapigania uhuru!! natiririkwa na mchozi nikiwaona watu wa watu walio wapigania watu kazi zao na utumishi wao utadumu mioyoni mwetu daima amen