wana jamvi naomba hoja za msingi na zenye takwimu na si za kishabiki kwanini ccm wao hawataki mfumo wa serikali 3? maana nasikia maneno maneno yasiyo ya kitafiti juu ya uwepo wa serikali 2 wanazo taka ccm,so mwenye ufafanuzi huo aweke humu tupate kujua ukweli wao
Hivi nani alianzisha mchakato wa katiba mpya?
Hivi nani alianzisha mchakato wa katiba mpya?
Exactly Mkuu umegusa point ya muhimu. Kikubwa ni kuwa Pengo amekataa serikali3 na ccm hawawezi kwenda kinyume, wakienda kinyume inamaana wakose kura 2015 pia kushinda serikali3 ni ngumu hivyo wanakomaa ili waendelee kuwepo madarakani. Lakini hoja kubwa ya kukomalia muungano ni kanisa kudhibiti Uislam na wala hakuna ingine.Ttzo kubwa hawataki tu kuiona zanzibr ina mamlaka kamili,hofu yao kubwa kanisa halitoweza tena kutawala zanzibr,si mumemsikia pengo alivyosema?
Wewe ni mfu hata hujielewi. Huna tofauti na Wassira aliyesema kuwa katiba mpya lilikuwa wazo la CCM.
Mimi majina ya lyimo nilishakosa imani nayo kitambo sana.
wana jamvi naomba hoja za msingi na zenye takwimu na si za kishabiki kwanini ccm wao hawataki mfumo wa serikali 3? maana nasikia maneno maneno yasiyo ya kitafiti juu ya uwepo wa serikali 2 wanazo taka ccm,so mwenye ufafanuzi huo aweke humu tupate kujua ukweli wao
hapo ckupingi bro maan ZANZIBAR hawana madini wale rasimali yoyote ya msingi wao labda wana urojo 2Mimi nadhani ni hofu ya kisiasa kuwa ccm ndiyo itakuwa mwisho. Mathalani hata sasa ukifuatilia vizuri ccm inawaendesha wananchi waliyoko mwambao wa bahari ya hindi na zanzibar kiujumla. Hivyo ni dhahiri zanziba wakijitenga kule hali kadharika Tanganyika,hili litawaletea ccm wakati mgumu.
Lakini zaidi ya yote Zanzibar ni mzigo kwa Tanganyika kama ilivyo mizigo mawaziri na rais wa JMT,maana hakuna Tanganyika inachonufaika toka Zanzibar ila Zanzibar ndiyo KUPE kwa Tanganyika.