Hali ya kisiasa inayoendelea nchini inajidhihirizha wazi kwamba ccm wako taabani kisiasa na wanachokifanya ni kujikaza kisabuni, sasa niwazi maandalizi yakuletwa kwa magari mengi yakipolisi niushahidi tosha kwamba ccm wataponea huruma za polisi ili wafunge GOLI LAO LAMKONO.. Lakin bila hivyo hata hilo goli lamkono itakuwa nikauli yakujifariji kwasababu wanajua upepo umebadilika zile enzi za usultan zimeisha wananchi hawaangalii kwahuruma sasa WA mchoka mabadiliko nje yamfumo ndicho kitu muhimu sasa. Watetezi wamikoa, wilaya ccm ndiyo haaooo wanabebwa namafurikooo...kiukweli anayeongelea ushindi ccm nadhani anakuwajifariji tu, hakuna wakujiuliza maswali mengi juu ya kile kinachoendelea nchi I ktk nyanja zakisiasa. nawashauri ccm na hata mkt wenu JK alishatoa mwongozo kwamba ccm mjipange Kisaikolojia kwa maamuzi magumu kisiasa, sasa mda ndio huu, je mmejipangaaaaa kisikolojia, kauli ya mwl Nyerere kwamba sikilizeni wananchi wanataka nini nyie mliwapuuza, sasa ndio muda huu kuadhibiwa kwadharau,ubabe naubinafsi wakujiona kuwa nyiye tu ndio watawala milele wa TZ.