Kwanini Ccm hawaelewi protoko?

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
527
Nipo kwenye mahafali mkoa wa Ruvuma Manispaa ya Songea,kuna mahafali kwenye shule ya sekondari.ajabu nilishangaa mgeni rasmi alipotakiwa kuongeza hela ili keki ifunguliwe eti akasema kabla sijaongeza nataka kutumia salam ya chama watu wakiitikia ndiyo naongeza,halafu alipofika wakati wa kulisha keki mwakilishi wa wahitimu akasema aje mwanafunzi ila awe anapenda ccm.hapa ndiyo nauliza kwanini hawa watu hawajali protoko?
 
Kwan protocol uliondaa wewe ilipaswa iweje
 
Kumbuka ili uwe ccm akili yako inatakiwa iweje ki IQ na reasoning !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…