Kwanini bundle zinaongezeka bei?

Kwanini bundle zinaongezeka bei?

Tozo zimeathiri biashara ya miamala kwenye makampuni, nahisi wana fidia kwa kupandisha gharama za vifurushi.

Lawama kwa serikali.
 
Hamia TTCL vifurushi ni nafuu na ni rafiki kwa wanachuo.

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Nataka mtu atueleweshe kwanini bundle zimepanda bei na nini kilichosababisha halii hii, vile vile na solutions za tatizo hilo kama lipo
.
Hii inaumiza sana wanachuo, unakuta mtu yukoradhi aweke bundle kuliko kula
.
Mie naona sio haki kabisa
BEI YA DIESEL IMEATHIRI KILA PAHALA, yakiwemo mabando
 
Internet inasambaza mwanga unaotoa giza kwa watanzania.... ujinga ndio silaha kubwa ya chichiemu, hawataki tuelimike
 
ohoo mko wapi mbona waziri alishalitolea ufafanuzi kule mjini twitter kwamba mafita ya kuendesha mitambo et yamepanda
 
Back
Top Bottom