R Realboynicky Senior Member Joined Mar 31, 2023 Posts 166 Reaction score 311 Nov 1, 2024 #1 Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo
Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo
J John Wicks Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 7,959 Reaction score 17,302 Nov 1, 2024 #2 Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Tatizo ni aina ya utawala tulionao hapa nyumbani. Gari la aina hiyo hiyo Moja kwa Zambia unaweza ukainunua kwa gharama ya Tshs. 17 milioni tu, lakini kwa Tanzania utainunua kwa gharama ya Tshs. 25 milioni kwa sababu ya kubambikwa Kodi kubwa sana kutoka TRA.
Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Tatizo ni aina ya utawala tulionao hapa nyumbani. Gari la aina hiyo hiyo Moja kwa Zambia unaweza ukainunua kwa gharama ya Tshs. 17 milioni tu, lakini kwa Tanzania utainunua kwa gharama ya Tshs. 25 milioni kwa sababu ya kubambikwa Kodi kubwa sana kutoka TRA.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,063 Nov 1, 2024 #3 Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Walisema kama vipi hamieni urundi
Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Walisema kama vipi hamieni urundi
kwa-muda JF-Expert Member Joined Sep 5, 2018 Posts 2,101 Reaction score 5,442 Nov 1, 2024 #4 Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Kodi mkuu. Bora hata ya bongo. kodi ya ethiopia ni noma mkuu.
Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Kodi mkuu. Bora hata ya bongo. kodi ya ethiopia ni noma mkuu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,371 Reaction score 111,681 Nov 1, 2024 #5 Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Kwamba hujui namna kodi za "tiharaei" zilivyo pasua kichwa?
Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Kwamba hujui namna kodi za "tiharaei" zilivyo pasua kichwa?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,619 Reaction score 65,082 Nov 1, 2024 #6 Kodi iko juu
M Mundele Makusu1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 2,629 Reaction score 3,728 Nov 1, 2024 #7 Acha Tu kuna mengi tutaviambia vizazi vijavyo
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,312 Nov 1, 2024 #8 Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Kweli mkuu,kuliko hata south Africa ambazo hutengeneza under licence mpya
Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... Kweli mkuu,kuliko hata south Africa ambazo hutengeneza under licence mpya
K kikokoteo JF-Expert Member Joined May 11, 2024 Posts 634 Reaction score 973 Nov 1, 2024 #9 Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... ishu syo gar mbei nkubwa ni makato ya TRA ndy balaaa kama unayo misamaa ya kodi na lesen ya mlipa kodi bs ww kuaagza gar autaweza kusumbuliwa
Realboynicky said: Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo Click to expand... ishu syo gar mbei nkubwa ni makato ya TRA ndy balaaa kama unayo misamaa ya kodi na lesen ya mlipa kodi bs ww kuaagza gar autaweza kusumbuliwa