Tundu Lissu ni kila kitu...strategist, wakili, political annalist, msemaji wa chama, aktibu mkuu, mnadhimu wa chama, n.k, n.k., sasa kina Baregu watasema nini?Baregu ni political scientist (PhD) nashangaa ni kwa nini hakisaadii chadema kimawazo, kwani kielekepo siko kabisa, ...