Kwanini Arafa anikatae mimi tu?

Potezea tu, tafuta pengine pa kupeleka hisia.
Nishafikiria hilo suala la kumpotezea sema kila nikisikia wadau wakisifia kuwa mtoto ni fundi ndo nazidi kupata hamu ya kuruka nae.

Mimi ni mzee wa One Night Stand, nilitaka nigonge show moja nitembee ila sasa naona bora nikaushe tu!
 
.
 
Attachments

  • 255744184037_status_da558bef291a4793a11a757979cbf287.jpg
    55 KB · Views: 11
Najisikia fahari kukufundisha Arsenal mwenzangu.

Wanawake msinune.

Kiukweli ni ngumu sana kummega mwanamke mjinga. Mwerevu atapanga hoja utapangua ila siyo kwa mjinga.

Now how can you get into her pants? Mzee inabidi uwe chale na uwe blunt like "Sa ukinibania wewe huo mknd unadhani nani atanipa?" Yaani kua straight pia pretend haujaona mwingine katika sifa fulani aliyonayo mfano si umesema kafungasha basi wewe ni mwendo wa kusifia tako tu.

Matext ya kingese ya kumwaga na kujiapiza "Ukinipa? Nakojoa ndani ya dakika mbili ya tatu nitakua nimeshika notebook naandika kumbukumbu ya utamu wako" my favorite "Unaonekana una qummer tamu sana hope sitapata kisukari"

Wiki ya kuact hivi usipommega jua ngao ya hisani hatubebi.
 
Hahahahaaa ebuana m-gunner mwenzangu umenipa somo zuri mno! Inaonyesha una maujuzi ya kutosha.

Poa mkuu nitalifanyia kazi na ile ngao lazima tubebe.

#COYG[emoji123]
 
Hahahahaaa ebuana m-gunner mwenzangu umenipa somo zuri mno! Inaonyesha una maujuzi ya kutosha.

Poa mkuu nitalifanyia kazi na ile ngao lazima tubebe.

#COYG[emoji123]
Niamini mimi yaani mabinti wa hivyo ukijifanya unataka kua gentleman hutoboi.
 
Ukiona hivyo juwa Mungu kakuepusha na magonjwa, maradhi na nk.. Achana na huyo cha wote Arafa.
 
Nunua gari kisha mfate
 
Hii kitu ipo tu mkuu. Binafsi nilihangaika kichizi ila katoto kananikazia afu masela wanapewa tu kama sadaka. Bihawa popote ulipo fala wewe😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…