Ni kweli hapo nakubaliana nawewe ila sasa kila jamaa akigusia swala la hela mama anakuwa mkali na hataki kutoa maelezo kuusiana na matumizi alikuwa anatuma hela kwa sababu yye yuko mbali ssa hela ikawa inatumbukizwa kwenye acc moja kwa moja na yeye hana access na acc ni mke tujamani ndoa ina commitment nyingi,mayabe huyo mke ana makosa ya kutumbua hela lakini na huyo bwana nae ana makosa yake.kumtimua mke sio suluhisho,suluhisho wote wakae chini,huyo husband,akae amueleweshe huyo mke maisha yalivyo,na matumizi yawe kulingana na uwezo wao wa kimaisha.hiyo sio sababu nzito ya kumtimua mke.
mke hafanyi kazi jamaa alifungua joint account sasa yeye yuko ughaibuni na bank ipo home ndo maana mke ndo mwenye access na account alijaribu kumwonya mara kibao mwanamke hakawa hataki kuelewa yakamfika shingoni kaona bora ndoa ife kuliko kuishi kwa matesoKwani huyo mama hafanyi kazi? yaani mume anakupa access ya account yake then unakuwa mkali?? kwa pesa yake?? jamaa akae nae chini amweleweshe umuhimu wa matumizi mazuri ya pesa, coz kumwacha kwa sababu hii sio suluhisho
shida kununua vitu hasingeweza kwani yeye anapiga box ughaibuni mke ndo yupo home kila akielekezwa anaona jamaa mambo fulani na akamtamkia live kuwa akienda likizo hatamkutaHuyo mama alikuwa natamaa zisizokuwa za msingi ndizo zilizosababisha ndoa yake kuvunjikana huyo baba kwangu mimi hajafanya maamuzi sahihi kitu ambacho angefanya angukuwa ananunua vitu vyote vya ndani akapeleka hapo nyumbani, bora angewaeleza wazazi wake wakamkanya kabla hajachukua maamuzi ya kumtimua
jamani ndoa ina commitment nyingi,mayabe huyo mke ana makosa ya kutumbua hela lakini na huyo bwana nae ana makosa yake.kumtimua mke sio suluhisho,suluhisho wote wakae chini,huyo husband,akae amueleweshe huyo mke maisha yalivyo,na matumizi yawe kulingana na uwezo wao wa kimaisha.hiyo sio sababu nzito ya kumtimua mke.
mi naona hapo saw kwamba ampe ka likizo kafupi ajirekebishe watoto wakae kwa bibi mpaka ajifunze matumiziwanawake wapuuzi sana sometimes, ktk masuala ya hela km mwanamke si mfanyakazi ujinga huwazidi. Atimue then amnyanganye ATM zote! watoto awachukue mpaka mama yao atakapo jirekebisha!
Likizo imekuwa kazi hiyo kuolewami naona hapo saw kwamba ampe ka likizo kafupi ajirekebishe watoto wakae kwa bibi mpaka ajifunze matumizi