Ukiachilia hayo,mwanamke ukimpa hela analia,usipompa hela analia,ukitupa shilingi kwenye kibubu analia,usipotupa vile vile analia,ukibaki nae nyumbani analia,ukienda kazini analia,ukimpenda analia,usipompenda analia.....inshort sometime hawaeleweki kabisa.
MY TAKE
ni maoni yangu and i stand to be corrected elsewhere