pole kwa yaliyokukuta...!!
asante gango..
ndio ilivyo kama utakutana na mwanamke au mwanaume mkapendana mtaoana tofauti na hapo ujue hamkupendana (either hukumpenda au hakukupenda). always wanaopendana hawahachani ndugu yangu ukiona watu wanaachana ujue hawakuwa na mapenzi ya dhati (either mmoja wao hakuwa na mapenzi ya dhati).
. mtu anapenda waschana zaid ya 3,wote anawaahid kuwaoa mwisho wa cku hachkuliw hata mmoja kati yao...
pole bwana, lakini wanawake na wanaume waliotulia na wenye hofu ya Mungu wapo pia.
Unahitaji kutulia na kuwa na hofu ya Mungu ili kumpata wakufanana nawe!
Yeah ni muhimu...we waonaje?