Kwanii tulipie TBC2 kuangalia UEFA?

Kwanii tulipie TBC2 kuangalia UEFA?

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,890
Reaction score
17,744
Kabla hawajaanza Kusema wataonesha UEFA live, TBC2 ndani ya Star times ilikuwa ni bure kama channel zingine za ITV, TV1,EATV,CHANNEL 10, Clouds, etc

Sasa TBC2 ukiclick wanakwambia 'this channel belong to mambo' please subscribe.... sasa whatever the case it may be, TBC inaendeshwa na kodi za nani? Mbona hizo nyingine tunaangalia bure? yani nilipe kodi mara 2? TBC2 inamilikiwa na nani? si television ya taifa? hata kama mpira ni luxury, haiwezekani tusilipie tv zisizoendeshwa kwa kodi zetu tuje tulipie tena TBC.. this is double taxation and is strictly not acceptable, TBC tumewavumilia sana, sana tu, ila kwa hili mnazidi mipaka sasa..
 
umeongea point sana mkuu mi japo siangaliagi haya ma tbccm yote lakini kwa hili si sawa. Wanatukamua sana kwann izo kodi zisituwezeshe kuona bure kama sehemu ya mchango wa serikali kwa wananchi wake
 
Basi usilipe na usitazame hizo mechi Za UEFA. Bunge la Katiba ni bure tu utaonyeshwa.
Ova.
 
Kabla hawajaanza Kusema wataonesha UEFA live, TBC2 ndani ya Star times ilikuwa ni bure kama channel zingine za ITV, TV1,EATV,CHANNEL 10, Clouds, etc
Sasa TBC2 ukiclick wanakwambia 'this channel belong to mambo' please subscribe.... sasa watever the case it may be, TBC inaendeshwa na kodi za nani? Mbona hizo nyingine tunaangalia bure? yani nilipe kodi mara 2? TBC2 inamilikiwa na nani? si television ya taifa? hata kama mpira ni luxury, haiwezekani tusilipie tv zisizoendeshwa kwa kodi zetu tuje tulipie tena TBC.. this is double taxation and is strictly not acceptable, TBC tumewavumilia sana, sana tu, ila kwa hili mnazidi mipaka sasa..

Bado sijaelewa unahitaji nini hasa?
 
Back
Top Bottom