Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine.
Kweli kabisa. Ana taasisi uchwara inaitwa REDET, sijui kama bado ina operate. Ilikuwa ni taasisi ya mchongo ku divert mamabo makubwa ya kisiasa na kujenga uchawa.Jamaa kachangia kwa kiasi kikubwa kuua struggle za Katiba halafu leo anajitutumua🚮
Yakufanya assessment baada ya Uchaguzi halafu anauambia umma Uchaguzi ilikuwa fair kabisa🚮🚮🚮 Leo anatoa wapi huo ujasiri wa kuyazungumza haya?Kweli kabisa. Ana taasisi uchwara inaitwa REDET, sijui kama bado ina operate. Ilikuwa ni taasisi ya mchongo ku divert mamabo makubwa ya kisiasa na kujenga uchawa.
Taifa la hovyo sana mkuuKama unamchongo ni bora kutembea aisee.
Ni fedheha na aibu sana kujitambulisha MtanzaniaNiliwahi kusema kwa jamaa kwamba, kama inatokea ni vuke border siwezi kuji introduce kama Mbongo
Tunaonekana mafala sana aisee, kuna siku Wakenya wakawa wanatujadili kwamba inawezekanaje Rais anateua wasimamizi wa Uchaguzi ilihali nayeye nimshindani. Wanasema bado watz wapo usingizini.Ni fedheha na aibu sana kujitambulisha Mtanzania
Acha aisome namba tuKwanini kwenye lile likikosi ujinga hakuyasema haya?
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote hakuna Taifa zuri duniani kama Tanzania ila sema tu siasa za Tanzania ndiyo mbaya kwa ustawi wa nchi yetu.Ni fedheha na aibu sana kujitambulisha Mtanzania
Bora hata sisi ambao tunaathiriwa na siasa za chama kimoja kuliko Kenya ambako kama hujazaliwa Mkalenjini au Mkikuyu huwezi kuwa Rais Kenya.Tunaonekana mafala sana aisee, kuna siku Wakenya wakawa wanatujadili kwamba inawezekanaje Rais anateua wasimamizi wa Uchaguzi ilihali nayeye nimshindani. Wanasema bado watz wapo usingizini.
Mbaya zaidi tunatawaliwa na Mzanzibar. Nyerere mungu amchome moto hasa huyu mzee kaleta nuksi sana katika nchi yetu Tanganyika.Tunaonekana mafala sana aisee, kuna siku Wakenya wakawa wanatujadili kwamba inawezekanaje Rais anateua wasimamizi wa Uchaguzi ilihali nayeye nimshindani. Wanasema bado watz wapo usingizini.