Kwani Polepole anapigania nini hasa?

Kwani Polepole anapigania nini hasa?

TJF1990

Member
Joined
Nov 1, 2023
Posts
6
Reaction score
17
Kuna haja ya kutoa macho mawili kabisa kwa huyu mtu ambaye kuibuka kwake kipindi hiki kunatia shaka sana kwa watu wa haki. Polepole hajasikika kabisa akigusia matatizo ya watanzania kabisa. Kila mikutano anayofanya amekuwa analia na chama peke yake. Je, anataka kupata nini kwenye kilio chake?

Kabla ya mkutano wake wa kwanza, Ndugu Polepole alitwambia kwamba dada yake ametekwa usiku na kwenye mkutano wake akagusia jambo hilo. Utekaji imekuwa ni issue kubwa ambayo ilichukua sura pana zaidi ilipogusiwa na aliyekuwa Mbunge wa Kawe Mh Askofu Gwajima.

Kama Polepole angekuwa anapigania kile ambacho sisi tunadhani kitatusaidia pia angetambua mchango mkubwa wa Gwajima kwenye kupaza sauti kupinga utekaji ambao yeye na familia yake ni waathirika. Kitendo cha kujaribu kwa kila namna kupuuza, kudogosha na kupotezea jitihada za Gwajima kupigania haki ya nchi hii inatufanya tuwaze sana kama hana agenda yake mfukoni inayomfanya amuone Gwajima kuwa kikwazo kwenye hilo.

Ndugu Polepole kama atarudi tena hadharani na kuendelea na NO COMMENT kwenye maswala ya msingi basi itabidi atwambie anamtumikia bwana yupi na atanufaikaje na jambo hilo. Watanzania kabla hatujasahau sana tuwe makini naye maana siku akipata anachotaka huenda akaonesha sura ambayo awali aliwahi kuionesha kwetu.

Tuweke mbali ushabiki, tangu press ya Gwajima mwezi wa tano mpaka leo hatujaona sehemu ya kutilia shaka msimamo wake na determination yake. Zaidi sana ameendelea kukubali kupoteza kile alichokuwa nacho kama Ubunge, Kanisa, Uhuru na hata baadhi ya Haki zake.

Mtu wa namna hii, mshirika kwenye uwanja wa vita hakuna namna unaweza kusema NO COMMENT labda kama kusema kwako kunamnufaisha kwa namna ambayo wewe USINGEPENDA KABISA. Na kama ni hivyo basi ndugu Polepole tukupe muda na Polepole tutakufahamu na kukuvua kinyago chako.
 
Unataka akupe na notes ukakariri? Maana wabongo tunajijua wote degree zetu na vyeti tunapata kwa kukariri past papers za miaka ya 80 na 70

Mbona kaongea kiswahili mara zote hujaelewa nini? Au unataka mama akuone na samadi zako?
 
Kuna haja ya kutoa macho mawili kabisa kwa huyu mtu ambaye kuibuka kwake kipindi hiki kunatia shaka sana kwa watu wa haki. Polepole hajasikika kabisa akigusia matatizo ya watanzania kabisa. Kila mikutano anayofanya amekuwa analia na chama peke yake. Je, anataka kupata nini kwenye kilio chake?

Kabla ya mkutano wake wa kwanza, Ndugu Polepole alitwambia kwamba dada yake ametekwa usiku na kwenye mkutano wake akagusia jambo hilo. Utekaji imekuwa ni issue kubwa ambayo ilichukua sura pana zaidi ilipogusiwa na aliyekuwa Mbunge wa Kawe Mh Askofu Gwajima.

Kama Polepole angekuwa anapigania kile ambacho sisi tunadhani kitatusaidia pia angetambua mchango mkubwa wa Gwajima kwenye kupaza sauti kupinga utekaji ambao yeye na familia yake ni waathirika. Kitendo cha kujaribu kwa kila namna kupuuza, kudogosha na kupotezea jitihada za Gwajima kupigania haki ya nchi hii inatufanya tuwaze sana kama hana agenda yake mfukoni inayomfanya amuone Gwajima kuwa kikwazo kwenye hilo.

Ndugu Polepole kama atarudi tena hadharani na kuendelea na NO COMMENT kwenye maswala ya msingi basi itabidi atwambie anamtumikia bwana yupi na atanufaikaje na jambo hilo. Watanzania kabla hatujasahau sana tuwe makini naye maana siku akipata anachotaka huenda akaonesha sura ambayo awali aliwahi kuionesha kwetu.

Tuweke mbali ushabiki, tangu press ya Gwajima mwezi wa tano mpaka leo hatujaona sehemu ya kutilia shaka msimamo wake na determination yake. Zaidi sana ameendelea kukubali kupoteza kile alichokuwa nacho kama Ubunge, Kanisa, Uhuru na hata baadhi ya Haki zake.

Mtu wa namna hii, mshirika kwenye uwanja wa vita hakuna namna unaweza kusema NO COMMENT labda kama kusema kwako kunamnufaisha kwa namna ambayo wewe USINGEPENDA KABISA. Na kama ni hivyo basi ndugu Polepole tukupe muda na Polepole tutakufahamu na kukuvua kinyago chako.
Umezaliwa 1990 ila akili za 2000
 
nivema sasa ukatulia ukamsikiliza tena nakufikiria zaidi maisha yako na ndugu zako halafu utapata jibu zingatia sana maisha ya ujumla ya ndugu zako
 
Nimemsikiliza jana polepole kwakweli huyu ni hazina kubwa kwa ccm. Msikilize vizuri utamuelewa.

Anazungumzia sekta.mbalimbali ikiwemo miundombinu. Afya haswa dawa zinazotokana na mimea asili organic.medicine sio.za kuchanganywa maabara zinazotoka ulaya. Kilimo. Ajira na.anaeleza kwamba Viongozi.waliopo wametenda vema lakini kasi yao ni ya.kobe na wahuni lazima.washughulikiwe na viboko sio kuwaambia with soft tone.
 
Kuna haja ya kutoa macho mawili kabisa kwa huyu mtu ambaye kuibuka kwake kipindi hiki kunatia shaka sana kwa watu wa haki. Polepole hajasikika kabisa akigusia matatizo ya watanzania kabisa. Kila mikutano anayofanya amekuwa analia na chama peke yake. Je, anataka kupata nini kwenye kilio chake?

Kabla ya mkutano wake wa kwanza, Ndugu Polepole alitwambia kwamba dada yake ametekwa usiku na kwenye mkutano wake akagusia jambo hilo. Utekaji imekuwa ni issue kubwa ambayo ilichukua sura pana zaidi ilipogusiwa na aliyekuwa Mbunge wa Kawe Mh Askofu Gwajima.

Kama Polepole angekuwa anapigania kile ambacho sisi tunadhani kitatusaidia pia angetambua mchango mkubwa wa Gwajima kwenye kupaza sauti kupinga utekaji ambao yeye na familia yake ni waathirika. Kitendo cha kujaribu kwa kila namna kupuuza, kudogosha na kupotezea jitihada za Gwajima kupigania haki ya nchi hii inatufanya tuwaze sana kama hana agenda yake mfukoni inayomfanya amuone Gwajima kuwa kikwazo kwenye hilo.

Ndugu Polepole kama atarudi tena hadharani na kuendelea na NO COMMENT kwenye maswala ya msingi basi itabidi atwambie anamtumikia bwana yupi na atanufaikaje na jambo hilo. Watanzania kabla hatujasahau sana tuwe makini naye maana siku akipata anachotaka huenda akaonesha sura ambayo awali aliwahi kuionesha kwetu.

Tuweke mbali ushabiki, tangu press ya Gwajima mwezi wa tano mpaka leo hatujaona sehemu ya kutilia shaka msimamo wake na determination yake. Zaidi sana ameendelea kukubali kupoteza kile alichokuwa nacho kama Ubunge, Kanisa, Uhuru na hata baadhi ya Haki zake.

Mtu wa namna hii, mshirika kwenye uwanja wa vita hakuna namna unaweza kusema NO COMMENT labda kama kusema kwako kunamnufaisha kwa namna ambayo wewe USINGEPENDA KABISA. Na kama ni hivyo basi ndugu Polepole tukupe muda na Polepole tutakufahamu na kukuvua kinyago chako.
KUNDI la Wahuni wanaovaa suti,ambao wameunda Genge la kutafuna kodi za Serikali kwa kisingizio Cha kuwa sehemu ya serikali
 
Back
Top Bottom