mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,471
- 9,532
Inashangaza sanaHao wanapelekeshwa hovyo tu .... kisa ten ten , na ubwabwa !!!!! Wale viongozi wao top walishalamba asali kitambo
Sasa mbona tunaona muda wote wanawashambulia TEC na kutoa vitisho kwa waandamanaji kama kusema watakata watu vichwa?Mie naona masheikh wako upande wa serekali kuhimiza amani
Hawana tofauti haji manaraMasheikh wamejipa usemaji wa serikali. Ikiulizwa serikali wanatoq majibu wao yaani wanaitetea serikali bila kupima uzito wa hoja za wanaoitaka serikali ijibu hoja juu ya mambo ya msingi.