Mzee hata sitii neno..! dah maana ni shida sana..
huyo anayeenda marekani hajui maisha ya nje ya nchi yalivyo...mwambie marekani wapo lakini watakuwa sio wale anaowataka yeye au kama yupo tayari awe na wanawake wa mataifa mengine hapo sawa lakini kuna umri na wakati utafika atataka mwanamke wa kwao namaanisha wa kitanzania na ndo hapo atakapopata shida sasa maana wa aina hio hawapo wengi haswa nje ya nchi walotulia na akisema akatafute bongo anaweza akutane na matapeli ajute kuzaliwa...kama ana mtu asimuache kwa kiherehere cha kwenda marekani hajui kesho itakuwaje!
Hehehe...ngoja nicheke miye!!!
He'll definately be surprised na atakumbuka maisha ya bongo kwa habari ya mahusiano...
Inategemea na mtu@watu8, wanawake walio wengi, sio wote lakini; wanaohamia Marekani huwa wanabadilika sana kuwazidi mpaka wazawa...Hehehe...ngoja nicheke miye!!!
He'll definately be surprised na atakumbuka maisha ya bongo kwa habari ya mahusiano...